Recent content by Mkwawabongo

  1. M

    Wachumi na Wanasiasa Tusaidieni Tanzania Ilifikia Wapi ?

    Mkuu uneongea ukweli Kama mchumi na sidhani Kama level uliochambua ni ya mtu mwenye degree za Tanzania....Watanzania wanashabikia ujinga lakini ikianza kuwachoma inavyotakiwa ndio watatumia akili kufikiria....Kitu Magufuli anafanya ni Uongozi wa mwaka 1967 Kama mentor wake Nyerere...Alafu...
  2. M

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Sasa mbona hujibu swali....Je KKKT ni taasisi ya kiserikali ama ni kanisa la walutheri...Na je kama ni binafsi ina uhusiano gani na mji kubebwa
  3. M

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Mimi ni mtanzania lakini tangu nimezaliwa nimeenda Dar mara 3 na sijawahi kukaa zaidi ya siku mbili. Nikitaka kusafiri njee natumia balozi za Kenya. Nimekuwa miji mikuu ya nchi zin Ni moja peke yake, Ile ya Tengeru ni maneno peke yake sidhani Kama itajengwa anytime soon. Watu huwa...
  4. M

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Selian imejengwa na sadaka za watu WA eneo hilo, Mikoa mingine haijanyimwa kujitolea sadaka ya kujenga hospital, hotel na shule.
  5. M

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Mimi ni mzawa wa maeneo hayo ya Boma na mpaka wa KIA nafahamu ulipo. KIA wana maeneo ambayo yamevuka hadi upande WA Arusha lakini hapajajengwa kitu..Palioojengeka kote ni Kilimanjaro na sio mpakani Turudi kwenye majengo, Arusha yapo majengo matatu mapya ambayo mawili yamezinduliwa juzi, Mwanza...
  6. M

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Sawa, Je hizo KKKT ni upendeleo wa serikali ndo swali langu. Alafu hoteli kama corridor imejengwa na hela ya sadaka zetu kutoka Arusha maana kulikuwa na bahasha ya kuikoa kipindi ikiwa kwenye Liquidation. Ninavyosema EAC haiko chini ya serikali namaanisha Lazima members wote walikubaliana eneo...
  7. M

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    HQ za kanisa nayo ni maendeleo, Chuo cha Mandela sidhani Kama ni ya serikali, HQ za tanapa Lazima owe Arusha maana wao ndo wanaongoza kwa utalii Tanzania.Kilimanjaro airport haiko Arusha sisi tuna airstrip ndogo kisongo, KIA ipo mkoani Kilimanjaro, Mahakama ya UN sio serikali, EAC sio serikali...
  8. M

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Kusema ukweli mimi najua Arusha ina matajiri wengi na kwa pesa zetu ni mabillionaire lakini hawawezi kusogelea hata robo ya billionaire wa Dar...Ila kitu kinachosukuma uchumi ni kutokana na kuwa na matajiri wengi ambao benki hawakosi hiyo Billioni kwenda juu...Ukirudi Dar kuna matajiri haswa...
  9. M

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Dar ni mji mchafu unaonuka kuliko sehemu zote Tanzania....Watu ni wachafu, matapeli, ujanjaujanja kila corner, kuongea kama midomo haina breki, capital ya magay......Kuna mzunguko Kuliko mikoa mingine sababu population ya ukweli ni zaidi ya Millioni Sita hivyo tegemea mzunguko uwe...
  10. M

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Sasa law of supply and demand ina apply Arusha l...Mbuzi wamejaa Arusha na mzima anauzwa 70,000-80,000 ulitaka mguu mmoja uwe 40000??
  11. M

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Ni Kitu gani serikali inaipa Arusha ambayo mwanza haijapewa????hayo mashirika unayosema ni wapi wamewekeza Arusha..Kama ni nssf wana jengo moja, ppf wana moja na pspf wana moja..Kama ni mahoteli hakuna hata moja ya serikali yote ni ya wazawa....kama ni biashara zote ni za wazawa hivyo mzunguko...
  12. M

    Madini aina gani haya wataalaam nisaidieni

    Hizo ni takataka hamna mtu ananunua.....Hii kama unachimba madini ya vito ndo inajichora kwenye mwamba inakupa mwelekeo wa njia.
  13. M

    Msaada: Utaratibu wa kufungua kiwanda Tanzania

    Ni kina nani hao???sidhani kuna tajiri yeyote ninaye ona ana nguvu hapa Tanzania ya kuweza kuzuia maendeleo....Ukipiga pesa kwenye dili zako alafu uwekeze kwenye kiwanda sidhani kama kuna mtu anayeweza kukuzuia
  14. M

    Msaada: Utaratibu wa kufungua kiwanda Tanzania

    Rockefeller ni Tajiri wa banking na utajiri wake ulitokana na speculation kipindi cha Napoleon akiongoza ufaransa. Ila hao wengine uliowataja ni matajiri wa viwanda. Dupoint- Mixed Investments, Rockefeller- Standard Oil, Vanderbilt- American Railways, Henry Ford- Ford Motors, Carnegie- US Steel...
  15. M

    Msaada: Utaratibu wa kufungua kiwanda Tanzania

    Cheki hizo episode alafu utaona kama hujachukia UJAMAA maisha yako yote.......Capitalism inatajirisha wachahche lakini wenye smart Ideas wanaweza kujoin ranks za hao matajiri. Viongozi wa nchi yetu akiwemo mtukufu magu na yeye anawaaminisha watanzania kuwa matajiri ni Evil wakati hakuna hata...
Back
Top Bottom