Recent content by Mkwavilavangi

  1. Mkwavilavangi

    Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Ngoja nielekee buchani 😸🙏,week hili ni milk,fish,stake, maini,eggs , roast
  2. Mkwavilavangi

    SoC04 Tanzania tuitakayo ambayo itajali, kuboresha sheria za nchi na kuthamini haki za wafungwa magerezani

    Heheee samaleko unataka wafungwa wapewe Haki ya kupata uroda 😂😂😂
  3. Mkwavilavangi

    Simuelewi huyu Demu

    masuala ya kazi huwa ni nyeti sana ,muombee atatue changamoto zake vizuri, usimchatishe muda wote kama dalali au afisa mikopo kausha damu.
  4. Mkwavilavangi

    Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

    sababu ni ; -Eneo dogo kulibana ili nyumba ya kukidhi mahitaji yafamilia iweze kutimia. -madhari na ramani za kuvutia -ngazi ngazi zakupandia floo ya juu inasaidia unvoluntary exercises. -pia ni fahari kuwa na ghorofa
  5. Mkwavilavangi

    Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

    ikumbukwe hakuna mwanadamu asie na kasoro na mapungufu,nikusisitize usichoke kuwa na tunu za uvumilivu ,upo pale kukamilisha mapungufu ya mwenza wako, tumia busara za mazungumzo na maafikiano ili muende sambamba, Hasa hilo la kukupandishia kibezi aache mara moja ,ongea nae hakuna sehemu utapata...
  6. Mkwavilavangi

    Vijana wa kisasa wanakumbwa na nini?

    Natumai mu wazima wa afya !,na hongereni Kwa ujenzi wa Taifa! Zipo kauli za kusema Vijana ni taifa la kesho! Au vijana ni nguvu KAZI ya taifa !,hii inaleta tija na inasikika vizuri masikioni mwa wanazuoni walio wengi! Siku hizi vijana wanakabiliwa Sana na changamoto nyingi zakimaisha na hivyo...
Back
Top Bottom