Vijana wa kisasa wanakumbwa na nini?

Mkwavilavangi

New Member
Mar 16, 2023
4
14
Natumai mu wazima wa afya !,na hongereni Kwa ujenzi wa Taifa!

Zipo kauli za kusema Vijana ni taifa la kesho! Au vijana ni nguvu KAZI ya taifa !,hii inaleta tija na inasikika vizuri masikioni mwa wanazuoni walio wengi!

Siku hizi vijana wanakabiliwa Sana na changamoto nyingi zakimaisha na hivyo kupelekea matumaini yakuwa na taifa Bora la kesho kufifia!! Sisemi kwamba hawafai Ila ni nadharia adimu yenye ukakasi maana Imani na uthabiti wa vijana utakidhi takwa la kesho yetu ndani ya taifa kuwa imara na yenye kuleta tija na ufanisi!

1. Vijana wengi wakisasa wanaogopa sana kuoa. Wengi wanapata tendo Kwa urahisi na hivo kutotilia maanani suala zima la Baraka za kindoa !.,eti unafugaje ng'ombe wakati maziwa yanapatikana Kwa urahisi, hovyo kabisa. Kuna haja kuweka midahalo yakitaifa kuinua nguvu KAZI hii inayokwenda kudidimia kwenye Lindi la uzinzi na uasherati.

IPO haja serikali kutengeneza mikakati mizito juu ya vijana na ndoa !!, Itasaidia kupunguza hata kuenea Kwa magonjwa na kuzaliana ingali baadae wanatelekezana.

2. Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana wa kileo. Yaan vijana wengi ni wavivu ,wezi na wazembe hususani hawa waliobahatika kupata kazi sehemu mbalimbali ,wengi hawataki kujibidiisha zaidi katika uzalishaji Bali wanajikita katika kupigà deals ,ubadhirifu na kujineemesha. Hii ni athari sana kwataifa hiki la kesho, vijana wengi wanabobea Sana katika kupata pesa rahisi rahisi bila kutumia nguvu, wanaishi kwa kibabaisha yaani mjini maneno mengi ndio mkono uende kinywani. Wanapenda kubeti Muda mwingi na kucheza amapiano huku wakiyageuza macho kuwa meupe kama vile wanataka kuona future Yao yakesho ,ni hatari Sana uvivu na starehe!!

3. Wengi wao hawajali afya zao, wanajikita katika matumiz ya sigara, bangi, visungura ,shisha ,unywaji wa energy drinks wakupindukia ,pombe na matumizi yasiyofaa ya Maisha Yao !! ,Katika dhamira pevu yakujenga taifa la kesho ni vema kuhakikisha nguvu KAZI yenye afya Tele imezingatiwa ,sasa linapokuja suala la kijana kutojituma na kujikita katika mambo yanayohatarisha afya yake yanachochea kuyumba kwataifa Hilo pendwa la kesho !! Tunashukuru serikali imewekeza vyema katika afya , hospital nzuri za kisasa , wataalam wakutosha ,navitendea KAZI vyakutosha Ila changamoto nihawa vijana wasiojali kesho yao. Ni rai yangu kuweka Kodi kubwa isiyogusika ili tuokoe hawa vijana na matumizi ya hizi addictives.

4. Vijana kutojua wapi wanaelekea. Hii nikasumba Yao wengi ,maana wanaishi kama wapo Tu, Maisha hayajasimama na wao wanazidi kukua ,ni Aibu MTU kuzeeka Pasi na kujua wapi anaelekea , jamii inapaswa kuwakumbusha vijana kesho njema huanza na Leo ,waanze sasa kujiinua kiafya ,kiuchumi ,kijamii,kiimani pia !

5. Elimu, elimu, elimu. Tunashukuru serikali na wazazi wengi wamesomesha vijana ,Sera Bora imezalisha wasomi wengi ,lakin baadhi yavijana elimu haijakuwa mkombozi imewadidimiza zaidi kwenye Lindi la utegemezi na kusuasua ,IPO haja kutathmini juu hili vinginevyo tutachelewa zaidi yahapa tulipo ,.Vijana wengi hujiita chawa ilimradi mkono uende kinywani ,hii si sawa maana wananguvu na wangeliweza kuzalisha kwaajili ya taifa na manufaa yake!. Ni Aibu kijana kukosa akili na weredi.

Enyi watu wazima above 55 yrs mlioko kwenye Mamlaka ya maamuzi , please, please ikumbukeni kesho ya taifa letu, tusaidieni kutengeneza Sera Bora zenye tija zinazowahusu vijana katika kuboresha maslahi Yao na kuijenga nchi yao ! ,Msiwasahau Sana hawa kundi maalumu, wanawahitaji katika kutimiza ndoto zao !!. ,Itafaa nn kujikisanyia pesa alafu mnaondoka huku mkiacha vizazi visivyo na upeo. Hivyo niwaombe muwape dira hawa vijana, kwamanufaa Yao.

7. Vijana wengi wasomi wazuri mmejiweka mbali na siasa, hamtaki kabsa kushiriki katika hili. Mnakosea Sana mnaacha wengin wawafanyie maamuzi mtaishia kulalamika,jitoeni katika uzalishaji na ushawishi ,kunyamaa hakutawasaidia ,siasa ni kila kitu kwenye Maisha, ,yawezekana Maisha yenyewe ni siasa, ngazi yamaamuzi ikiwa na vipanga tutegemee uimara kila Kona.

8. Vijana mnaacha watoto walelewe na mzazi mmoja. Hii n dosari kwenye makuzi ya mtoto ,mnatengeneza taifa laajabu hapo baadae. Single mother si dalili njema kwenye makuzi na malezi ya watoto ambao n vijana wa kesho. Vijana baadhi epukeni kutelekeza watoto ,kama hujamuoa unamzalisha wanini? Vijana komaeni kifikra na utimamu.

Ndugu zangu vijana yapo mengi ya kutafakari juu ya kesho yenu, pengine Tu baadhi wamejisahau lakini hatuna budi kukumbushana vinginevyo tunaelekea vibaya. Wapo vijana wamfano hatuna budi kuuiga nakusonga mbele katika haya.

Ndimi:

Mkwagilavangi
~Kijana wa zamani
 
Point namba moja ni ya hovyo kabisa.
Jukumu la ndoa na maadili ni jukumu la familia na siyo ya Serikali. Yaani Serikali ilete mikakati ya kupunguza single moms ambao huwa wanagawa papuchi kama peremende? Sijawahi ona kitu cha kijinga kama hichi. Ukiona kijana hana maadili ni makosa ya walezi wake sio Serikali.

Suala la ajira inabidi Serikali ikishirikiana na mashirika binafsi ijitahidi kuongeza ajira. Hili suala la kujiajiri kwa mtu ambaye amemaliza chuo na Hana financial background ni la kijinga. Nchi kama Marekani hutoa idadi ya unemployed individuals Kila mwezi na sometimes kila wiki na sio Marekani tu, na mataifa mengine pia ila hapa Tanzania sijawahi ona alafu unasema mtu ajiajiri, unajua costs za kujiajiri? Sio Kila mtu alazimishwe kuwa mkulima.
 
Natumai mu wazima wa afya !,na hongereni Kwa ujenzi wa Taifa!

Zipo kauli za kusema Vijana ni taifa la kesho! Au vijana ni nguvu KAZI ya taifa !,hii inaleta tija na inasikika vizuri masikioni mwa wanazuoni walio wengi!

Siku hizi vijana wanakabiliwa Sana na changamoto nyingi zakimaisha na hivyo kupelekea matumaini yakuwa na taifa Bora la kesho kufifia!! Sisemi kwamba hawafai Ila ni nadharia adimu yenye ukakasi maana Imani na uthabiti wa vijana utakidhi takwa la kesho yetu ndani ya taifa kuwa imara na yenye kuleta tija na ufanisi!

1. Vijana wengi wakisasa wanaogopa sana kuoa. Wengi wanapata tendo Kwa urahisi na hivo kutotilia maanani suala zima la Baraka za kindoa !.,eti unafugaje ng'ombe wakati maziwa yanapatikana Kwa urahisi, hovyo kabisa. Kuna haja kuweka midahalo yakitaifa kuinua nguvu KAZI hii inayokwenda kudidimia kwenye Lindi la uzinzi na uasherati.

IPO haja serikali kutengeneza mikakati mizito juu ya vijana na ndoa !!, Itasaidia kupunguza hata kuenea Kwa magonjwa na kuzaliana ingali baadae wanatelekezana.

2. Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana wa kileo. Yaan vijana wengi ni wavivu ,wezi na wazembe hususani hawa waliobahatika kupata kazi sehemu mbalimbali ,wengi hawataki kujibidiisha zaidi katika uzalishaji Bali wanajikita katika kupigà deals ,ubadhirifu na kujineemesha. Hii ni athari sana kwataifa hiki la kesho, vijana wengi wanabobea Sana katika kupata pesa rahisi rahisi bila kutumia nguvu, wanaishi kwa kibabaisha yaani mjini maneno mengi ndio mkono uende kinywani. Wanapenda kubeti Muda mwingi na kucheza amapiano huku wakiyageuza macho kuwa meupe kama vile wanataka kuona future Yao yakesho ,ni hatari Sana uvivu na starehe!!

3. Wengi wao hawajali afya zao, wanajikita katika matumiz ya sigara, bangi, visungura ,shisha ,unywaji wa energy drinks wakupindukia ,pombe na matumizi yasiyofaa ya Maisha Yao !! ,Katika dhamira pevu yakujenga taifa la kesho ni vema kuhakikisha nguvu KAZI yenye afya Tele imezingatiwa ,sasa linapokuja suala la kijana kutojituma na kujikita katika mambo yanayohatarisha afya yake yanachochea kuyumba kwataifa Hilo pendwa la kesho !! Tunashukuru serikali imewekeza vyema katika afya , hospital nzuri za kisasa , wataalam wakutosha ,navitendea KAZI vyakutosha Ila changamoto nihawa vijana wasiojali kesho yao. Ni rai yangu kuweka Kodi kubwa isiyogusika ili tuokoe hawa vijana na matumizi ya hizi addictives.

4. Vijana kutojua wapi wanaelekea. Hii nikasumba Yao wengi ,maana wanaishi kama wapo Tu, Maisha hayajasimama na wao wanazidi kukua ,ni Aibu MTU kuzeeka Pasi na kujua wapi anaelekea , jamii inapaswa kuwakumbusha vijana kesho njema huanza na Leo ,waanze sasa kujiinua kiafya ,kiuchumi ,kijamii,kiimani pia !

5. Elimu, elimu, elimu. Tunashukuru serikali na wazazi wengi wamesomesha vijana ,Sera Bora imezalisha wasomi wengi ,lakin baadhi yavijana elimu haijakuwa mkombozi imewadidimiza zaidi kwenye Lindi la utegemezi na kusuasua ,IPO haja kutathmini juu hili vinginevyo tutachelewa zaidi yahapa tulipo ,.Vijana wengi hujiita chawa ilimradi mkono uende kinywani ,hii si sawa maana wananguvu na wangeliweza kuzalisha kwaajili ya taifa na manufaa yake!. Ni Aibu kijana kukosa akili na weredi.

Enyi watu wazima above 55 yrs mlioko kwenye Mamlaka ya maamuzi , please, please ikumbukeni kesho ya taifa letu, tusaidieni kutengeneza Sera Bora zenye tija zinazowahusu vijana katika kuboresha maslahi Yao na kuijenga nchi yao ! ,Msiwasahau Sana hawa kundi maalumu, wanawahitaji katika kutimiza ndoto zao !!. ,Itafaa nn kujikisanyia pesa alafu mnaondoka huku mkiacha vizazi visivyo na upeo. Hivyo niwaombe muwape dira hawa vijana, kwamanufaa Yao.

7. Vijana wengi wasomi wazuri mmejiweka mbali na siasa, hamtaki kabsa kushiriki katika hili. Mnakosea Sana mnaacha wengin wawafanyie maamuzi mtaishia kulalamika,jitoeni katika uzalishaji na ushawishi ,kunyamaa hakutawasaidia ,siasa ni kila kitu kwenye Maisha, ,yawezekana Maisha yenyewe ni siasa, ngazi yamaamuzi ikiwa na vipanga tutegemee uimara kila Kona.

8. Vijana mnaacha watoto walelewe na mzazi mmoja. Hii n dosari kwenye makuzi ya mtoto ,mnatengeneza taifa laajabu hapo baadae. Single mother si dalili njema kwenye makuzi na malezi ya watoto ambao n vijana wa kesho. Vijana baadhi epukeni kutelekeza watoto ,kama hujamuoa unamzalisha wanini? Vijana komaeni kifikra na utimamu.

Ndugu zangu vijana yapo mengi ya kutafakari juu ya kesho yenu, pengine Tu baadhi wamejisahau lakini hatuna budi kukumbushana vinginevyo tunaelekea vibaya. Wapo vijana wamfano hatuna budi kuuiga nakusonga mbele katika haya.

Ndimi:

Mkwagilavangi
~Kijana wa zamani
Hata vijana wa zamani mlikuwa wa hovyo na wezi ndo maana Hata mlipopata madaraka suala dogo tu la mipango miji liliwashinda
 
Vijana wazamani nao walikuwa kam hae hawa tu.

Wazee wa leo ambao ndio vijana wa enzi zako wanaongoza kwa Kula Rushwa, Ufisadi, kujilimbikizia Mali na Madaraka.
 
Mimi ngoja nizungumzie point namba moja.

Si kwamba vijana hawataki kuoa, ni kwamba mabinti wa siku hizi wana tabia mbovu hawana uvumilivu na wana tamaa kubwa ya pesa, wanataka kuolewa na mtu ambaye tayari ana kila kitu nyumba, kazi, biashara na gari.

Wazazi pia wamewageuza binti zao chanzo cha mapato, mahali kubwa na mambo mengne mengi ujue unapooa mwanamke umeoa na familia yake sasa kama hujasimama financially utaweza hudumia familia tatu, yako wewe na mke wako, ya kwenu na ya kwao huyo mke wako.

Vijana wengi hawajaoa kwa sababu bado wanajitafuta financially.

Mwisho kabisa ndoa ni changamoto, kila siku tunaona na kusikia visanga vya ndoa vinavyopelekea hadi kifo.
Peace of mind is far more important than anything.

MARRIAGE AND KIDS ARE OPTIONAL...
 
Back
Top Bottom