Wadau naomba kuchangia katika mada hii kidogo.
(1) Umuhimu wa nchi kama Tanzania ambayo ina bandari (nyingi na nzuri) na ambayo pia inazungukwa na land-locked countries kuwa kiwanda cha kuchakata 'crude oil' ni mkubwa sana, na kuna faida nyingi sana, jana, leo na kesho.
(2) Awamu ya kwanza ya...
Wazo zuri kabisa mkuu. Kinachotakiwa ni Tanzania (serikali au wawekezaji wa ndani) kuandaa mipango ya Crude Oil Refinery Tanga ambapo ndiyo export terminal ya Crude oil kutoka Uganda. Mipango hii inatakiwa iende sambamba na ujenzi wa hiyo crude oil pipeline ambayo inategemewa kuanza kazi 2020...
Hapo MMM unawatega wapinzani. Wakisusia jambo muhimu kama hili ambalo wamekua wakipigania kwa muda mrefu, basi watapoteza kabisa whatever credibility waliyokua nayo katika kupigania masilahi ya nchi. Ni vema wajitokeze kwa wingi, watoe mchango wao kwa kadri wanavyoweza, kama wajibu wao...
How world profits from Africa’s wealth
By NJIRAINI MUCHIRA
Posted Monday, June 5 2017 at 11:22 [The East African]
Africa, despite being hailed as the new frontier of global economic growth, is losing more wealth than it is gaining.
A new report analysing the movement of financial resources...
Asante sana MMM kwa hoja yako ya uchokozi ambayo kwa bahati nzuri imeweza kuibua hisia nyingi toka kila upande.
Watu wengi wanaopinga approach ya Rais Magufulli katika suala hili la mchanga wanatoa hoja mbili kubwa:
Hoja A:
(1) Kwamba eti serikali itashtakiwa, na
(2) Ikishtakiwa...
Katika hili sakata la mchanga, Mh. Rais J.P. Magufuli asitetereke wala asipunguze mwendo.
Ni kweli kwamba uzembe mwingi katika hili sakata la mchanga umefanywa na watu wetu, wafanyakazi wa serikali na viongozi waliokuwepo. Vilevile ni kweli kwamba katika kukimbilia kupendelea wawekezaji...
Ukisoma vizuri hiyo RIPOTI ya TMAA ya mwaka 2011 (ukurasa wa 6) inaorozesha sababu zilizotolewa na mwekezaji kutokujenga mtambo Tanzania.
Sababu kubwa iliyotolewa ni kwamba mtambo wenye faida unahitaji kuchakachua malikinia siyo pungufu ya tani 150,000 kwa mwaka. Kwenye ukurasa huo-huo utaona...
Very well said.
Kutokana na postings za MM, ni hakika kwamba yeye ni analyst mzuri wa mambo,
na anaweza kuelezea jambo lolote kwa ufasaha na uelewa mzuri sana na likaeleweka.
Kwahiyo anafaa kuwa mwalimu (academician). Tatizo la kumfanya mwalimu kuwa
kiongozi ni kwamba anaweza kupotosha wale...
Stern warning issued to textile mills over crude waste disposal
Minister of State in President's Office (Environment), Binilith Mahenge has warned Arusha-based textile mills against indecent disposal of liquid waste, urging them to set up safer means of disposing waste.
The minister also...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.