Recent content by Mkwame

  1. M

    Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    Yani ccm viongizi wake wote ni maboya, tazama mdudungae alivyo kuwa anataka kulia, hoja zimemzidia kashindwa kujibu!
  2. M

    Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    Kweli ththm wamefulia kila kona mdudu ngae anashinwa kujibu oja anaanza marumbano, wakati hayawezi mpaka anataka kulia, Kweli magamba noma
  3. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Wananchi tuwe wastahamilivu na watulivu kwani wewe unao ndugu wangapi ambao wamezulumiwa? Msiingize vyama vingine katika hiyo kesi. Kama ni makosa yake basi wacha aadhibiwe na tusubiri Makongoro nae itakuwaje kwani naye kesi inanguruma mahakamani
  4. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    :rockon: juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  5. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    ooops! poleni sana vijana wote kwani huyo alikuwa ni maslahi yetu
  6. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Kwakweli leo hata kazini nimeamua kutokwena kazini watanisamehe kwa leo acha nisherekehe ushindi happy PEOPLEZZZZ.
  7. M

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    jamani sisi uku hatupati hata repe la usingizi, hatulali mpaka kieleweke wana arumeru msituangushe
Back
Top Bottom