Recent content by Mkwaju Ngedere

  1. Mkwaju Ngedere

    Nauliza wako wapi watu hawa?!

    Mods JF inaelekea kukosa muelekeo! Hivi kuuliza katuni zilichorwa kuwa "watu hawa wako wapi" inawahusu Great Thinker's? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mkwaju Ngedere

    Mohamed Hussein Gulam (48) anashikiliwa kwa tuhuma za kukutwa na gramu 300 za dawa za kulevya zinazodhaniwa kuwa ni heroin

    Mtemi mpambalioto huo ni uchangiaji wa Instagram ! "Wauchukue wakapikie ugali" ? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mkwaju Ngedere

    Wanaomiliki SIM-Cards zaidi ya moja tayari wanapaswa kuziharibu nyingine na kubaki na moja?

    Simuwazii yeyote ila tutaweka yeyote ambaye atakuwa na UCHUNGU na MZALENDO na sisi ndugu zake! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mkwaju Ngedere

    Wanaomiliki SIM-Cards zaidi ya moja tayari wanapaswa kuziharibu nyingine na kubaki na moja?

    Usije hata 2025 kwani baada ya JIWE tuweka JABALI ili kukomesha ujingaujinga Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mkwaju Ngedere

    Wanaomiliki SIM-Cards zaidi ya moja tayari wanapaswa kuziharibu nyingine na kubaki na moja?

    Kwa taabu inayokupata bora urudi Sweden , huko hakuna matatizo ,hapa UTATESEKA SANA! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mkwaju Ngedere

    Mkurugenzi ATCL: Dreamliner haijaharibika, tunafanya marekebisho ya kawaida. Ndege bado ipo kwenye majaribio...

    Haikuwa mpya kwa mujibu ZITTO , lakini ndege ni mpya na kwa mujibu Wa WATAALAM , hayo ni matengenezo / marekebisho ya kawaida Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mkwaju Ngedere

    Mkurugenzi ATCL: Dreamliner haijaharibika, tunafanya marekebisho ya kawaida. Ndege bado ipo kwenye majaribio...

    CHANCELLOR WA ZITTO UZUSHI UNIVERSITY ANAYO TAARIFA ILI AWAAMBIE WANAFUNZI WAKE WALIOKO FIELD WAJIELEKEZE MAENEO MENGINE?
  8. Mkwaju Ngedere

    Dreamliner: Yatua Mwanza na kikosi cha Simba leo 17/8/2018

    USIPOTEZE WAKATI BURE, WANAO POST MAMBO YA UWONGO NI WANAFUNZI WALIO KATIKA MAFUNZO YA VITENDO KUTOKA "ZITTO UZUSHI UNIVERSITY"
  9. Mkwaju Ngedere

    Tume ya uchaguzi acheni kunilisha maneno, mnanivuruga

    Kulangwa 22 Ingia kwenye mitandao utaona pia alihojiwa livevTBC
  10. Mkwaju Ngedere

    Tume ya uchaguzi acheni kunilisha maneno, mnanivuruga

    HUYU NI MPUMBAVU, SI AMETOKA LIVE AKISEMA ANAKUBALI MATOKEO? AU MNATAKA KUSEMA ALISHIKIWA MTUTU WA BUNDUKI ? ACHENI UZUSHI USIO NA KICHWA WALA MIGUU !!
  11. Mkwaju Ngedere

    2020 Mwenyekiti wa CHADEMA atapokea wageni?

    Kuna biashara haramu inafanyika hadharani?
  12. Mkwaju Ngedere

    CHADEMA: Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu NEC kuhalalisha ubatili uliofanyika kwenye uchaguzi

    Box tupu ni wewe unayekimbilia KUTUKANA badala ya kushindana kwa hoja, lete hoja ujibiwe, matusi yanafanya tujue kuwa HUKULELEWA KATIKA MAADILI MEMA ,pole!
  13. Mkwaju Ngedere

    2020 Mwenyekiti wa CHADEMA atapokea wageni?

    Ni kweli HAPOKEI MTU BURE! Mzee mamvi na Dr Zero walimpa PESA NDEFU!!!!
  14. Mkwaju Ngedere

    CHADEMA: Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu NEC kuhalalisha ubatili uliofanyika kwenye uchaguzi

    Mbele kwa mbele, mbele kwa mbele, hapa kazi tu , SAA YA KUCHANGANYIKIWA NI SASA, MTIKILA (RIP)
  15. Mkwaju Ngedere

    Baada ya kufungia channel za ndani kwenye vufurushi sasa fungieni na magazeti

    "KISHUMBUZI" cha TBC umenunua wapi nami nikanunue?
Back
Top Bottom