Recent content by mkuuwamikoa

  1. mkuuwamikoa

    Rais Magufuli: Nitahamishia Serikali yangu Dodoma - Waziri Mkuu aanzisha safari..

    Afadhali waende labda foleni zitapungua hapa mjini maana imekuwa kero.
  2. mkuuwamikoa

    RC Makonda, kwa hili la machangudoa, polisi wanakuangusha

    Nasikitika sana kitendo kinachofanywa na jeshi la police Tanzania kwa kuendekeza njaa za kijinga kwenye madanguro. Yaani polisi mzima unaenda danguro kukusanya mapato ili kuhalalisha umalaya, na maeneo tunayajua Mwenye namba ya kamanda Siro anipe nitumbue eneo, muda na maeneo wanayoishi...
  3. mkuuwamikoa

    Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    Note: ukitaza=ukitazama
  4. mkuuwamikoa

    Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    Hata ukitaza kwenye picha haonyeshi yupo pamoja na wenzie kama kalazimishwa vile hapo mawazo yake anawaza dodoma kwa wanae wa dhati hasira mbaya jamani…. Ila dawa ya hasira ni maamuzi magumu….. Avunje ukimya na atubu then arudi kundini atapokelewa tu. Haiitaji hasira …… ..yaani…. . Siasa? ……...
  5. mkuuwamikoa

    Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    Haka ka mada hakaitaji hasira…… ..
  6. mkuuwamikoa

    Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    [emoji38]
  7. mkuuwamikoa

    Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    Nawamudu, tunaenda nao taratibu hawahitaji nguvu Hawa.
  8. mkuuwamikoa

    Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    Hatujadili chama mkuu, rudi kwenye mada
  9. mkuuwamikoa

    Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    Ooh kwakuwa ndio mwenye chama? Kwahiyo Wanted kama boss.
  10. mkuuwamikoa

    Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    Kwahiyo lowassa ni Nyerere wa chadema? [emoji38] [emoji38] [emoji38]
  11. mkuuwamikoa

    Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    Jana alifua nguo zote za kijani ila siku zote huwa anavaa, hana shaka huyu.
  12. mkuuwamikoa

    Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    Talia namba yake
  13. mkuuwamikoa

    Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

    Nimeuliza swali mkuu, sijatuhumu wala kushutumu.
Back
Top Bottom