RC Makonda, kwa hili la machangudoa, polisi wanakuangusha

mkuuwamikoa

Member
Jun 26, 2016
58
30
Nasikitika sana kitendo kinachofanywa na jeshi la police Tanzania kwa kuendekeza njaa za kijinga kwenye madanguro.

Yaani polisi mzima unaenda danguro kukusanya mapato ili kuhalalisha umalaya, na maeneo tunayajua

Mwenye namba ya kamanda Siro anipe nitumbue eneo, muda na maeneo wanayoishi machangudoa.

Nasikitika kuona nguvu kazi ya taifa inavyoangamia huku watunza usalama wakijinufaisha na upuuzi huu.

My request namba ya mangu, makonda ama siro, najua najihatarisha ila potelea mbali walio wadogo watapona na UKIMWI na wimbi la MADAWA YA KULEVYA litapungua.

LIWALO NA LIWE.
 
Wenzao wameruhusiwa hela ya kubrashi viatu, wao naona wanatafuta hela ya kupelekea gwanda kwa dobi... Kufa kufaana ndug..
Ila wanachofanya sio sahihi, nakushauri ongoza moja kwa moja mpaka makao makuu ya polisi, posta ukamwage huo ubuyu
 
Huu mchezo wa kugegedana hahuitaj hasira na jazba. Cheseya papuch weyee!
 
Makahaba watatutangulia kuingia peponi kwa mujibu wa maandiko matakatifu.

Waliopungukiwa maarifa ndio hupambana dhidi ya makahaba.
 
Wenzao wameruhusiwa hela ya kubrashi viatu, wao naona wanatafuta hela ya kupelekea gwanda kwa dobi... Kufa kufaana ndug..
Ila wanachofanya sio sahihi, nakushauri ongoza moja kwa moja mpaka makao makuu ya polisi, posta ukamwage huo ubuyu
Mmmh, hamtaniona tena online
 
Back
Top Bottom