Recent content by mkuu wa vilaza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa kilichotokea Tarime 8 agosti 2018 kata ya Turwa, CHADEMA wanapotosha

    kwa pesa za ufadhili kutoka marekani ilo liweke kichwani mwako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jokate: Kupanga ni kuchagua, Ila Nakusihi Chagua Vema

    Naomba Tumsaidie Mkuu wa Wilaya vitu vya kufanya mimi na wadau baadhi tumeanza na hivyo hapo > Mradi wa maji kisarawe kutoka kiluvya kama km 15 tuu >Awekeze nguvu kwenye kilimo cha mihogo kupitia soko jipya la Uchina na pia ufuta unastawi >Stand ihamie kisarawe mjini kutoka buguruni >Makao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Usafirishaji wa Mizigo kwa Malori Makubwa: Jifunze Uzoefu, Miongozo, Faida na Changamoto Zake

    hiyo pesa inaweza ikatosha fuso single japo pia itakubidi pia uongezee
  4. M

    JamiiForums Tanzania UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

    Na kwako pia Chief
  5. M

    JamiiForums Tanzania UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

    Changanya na zakwako
  6. M

    JamiiForums Tanzania UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

    kwa kuwa ilishavunjwa chombo cha mwisho kitakuwa ni kipi katika kufanya maamuzi kaka yangu Petro?
  7. M

    JamiiForums Tanzania UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

    swali la msingi linakuja kwamba Baadhi ya waliokuwa member wa judicial organ ni wagombea katika uchaguzi huu, Mfano halisi ni Huyu mgombea urais ndugu Frank yeye alikuwa katibu wa Judicial itakapoitishwa kesi inayotaka judicial ikae yeye atakuwa upande upi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

    Ikumbukwe ni jana Tarehe 31/05/2018 Chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia makamu mkuu wake msaidizi utawala walitoa zuio la kusitishwa zoezi la uchaguzi mkuu hadi hapo vyombo vinavyohusika (Electoral organ) vitakaposhughulikia rufaa za wagombea wawili wa nafasi za Urais Ndugu Frank Isack na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

    Inashangaza sana mgombea unakata rufaa kwenda Utawala badala ya kuelekeza rufaa kwenda Bodi ya Rufaa ya uchaguzi, na hii inathibitisha kabisa kuwa kuna maelezo yametoka kutoka juu. Nimepita viungani UDSM nikazungumza na baadhi ya wajumbe wa Tume ya uchaguzi na Pia Bodi ya Rufaa wamethibitisha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Tunaambiwa Kampuni SIO HALALI Lakini Imesajiliwa Dar Es Salaam Stock Of Exchange (DSE) Na Watu Wananunua HISA!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Yaliyojiri kesi ya Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio. Shahidi wa Jamhuri aweweseka

    kujiandaa sio tatizo maswali ya Lissu hata ujiandae mwaka utaweza kuyajibu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    we uliyeleta hiyo sheria kingereza unakifahamu na kukielewa kweli????? ndio maana tunasema elimu elimu elimu
  13. M

    JamiiForums Tanzania DODOSO ni Bomu lingine kwa Elimu ya Juu

    Mkuu wazazi waanze kuandaa hizo bank statement na salary slip tuu
Back
Top Bottom