Recent content by mkuu tt

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusidanganywe hakuna kodi ya trilioni 1.4 iliyokusanywa

    Vyanzo ni vile vile walichofanya ni kupunguza uchakachuaji mfano pugu ina uwezo wa kukusanya m20 na zaidi lakini zinazowasilishwa hazizidi 2m hivyo hakuna haja ya kuongeza vyanzo cha ni muhimu kusimamia wakusanyi wote wa Mapato ya serikari
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe na ufisadi mabehewa feki

    Kweli mkuu tatizo la wabongo ni kuchanganya siasa na maslahi ya nchi fisadi yeyote ni hatari usishabikie ufisadi ueendelee kisa Fulani kaachwa kwa kukosekana ushahidi lete ushahidi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la TBC Kusitisha Matangazo ya Live za Bunge, Zitto Zuberi Kabwe: Live Star TV

    Zito ni mzalendo wa kweli hongera wananchi wa kigoma kwa kutuletea mzalendo asiyejali vyama ila maslahi ya taifa mbele
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wote ni wageni

    Seyid said alihamia Zanzibar kama mtawala
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kushinda Umeya katika Manispaa za Ilala na Kinondoni,UKAWA sasa wanataka kujiaribia

    Ulitegemea ukawa wakupe kura ni.sawa ngamia kupita tundu la sindano
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kulihitajika uchunguzi wa kina dhidi ya Dr. Faisal kwanza!

    Vyama vya wafanyakazi toweni tamko hii ni nchi ya kuheshimu utawala bora na Haki za watumishi
Back
Top Bottom