Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,917
Nimesikitishwa sana na taarifa za madiwani wa UKAWA kutoa siri kwa waandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi eti walipewa kalamu maalumu zenye kamera(binafsi bado siamini katika hili) ili wakipiga kura zionyesha ni nani waliomchagua katika kudhibiti kile kinachoitwa usaliti.
Kinachonishangaza ni hivi madiwani hawa wa UKAWA na mbunge Halima Mdee alietajwa na kunukuliwa hawajui kuwa kura ya mtu ni siri na kwamba mtu hapaswi kulazimishwa kumchagua mtu asiyempenda?CCM wakienda Mahakamani na kuthibitisha madai haya hamuoni uchaguzi huu unaweza kufutwa kwa kukiuka sheria na taratibu za uchaguzi huo?Waliotoa taarifa hizi sio mamluki kweli?Mdee, hapa umechemka dada yangu!
UKAWA kuweni macho na habari hii kwani si njema kwenu hata kidogo na muifanyie uchunguzi na wahusika wapewe onyo.Pia mnapaswa kuikanusha kwa nguvu zote tena bila kuchelewa.