Recent content by Mkusaro2015

  1. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Duuuuh!!Huyu jamaaa ni noumaaaaa wampe tu hii nchi auseee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Niulize Swali lolote nitakujibu

    Unadhani kwa Mtazamo wako Raisi ajae ni Nanii!??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombaje ruhusa? Nina siku 2 kazini ila nahitaji kuhudhuria interview ingine

    Omba seeksheet Mzee jifanye unajisikia hovyo jombaa unataka kwenda kucheki afya.Hawawezi kukukatalia afu unaenda kwenye hiyo issue yako
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha Ufundi KIHONDA

    Poapoa Mjomba mkude nimekusoma thankx
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha Ufundi KIHONDA

    Wadau naombeni mwenye kufahamu kuhusu muda wa mafunzo ktk Chuo cha Kihonda na gharama yake tafadhali. Kwa Yeyote ambaye ameshasoma pale au anayejua kuhusu hilo. Na vipi kuhusu uwezekano wa ajira baada ya kusoma chuo hicho?? Naombeni Msaada wadau.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limfukuze kazi askari huyu mara moja!

    Na huyo je
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi tatu zinazolalamikiwa sana na watu

    Hizo siasa tu jombaaa.Kuna ushaidi wwte kwa mtu wa takukuru kukamatwa kwa kupokea Rushwaa!! au na ww unaingea tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi tatu zinazolalamikiwa sana na watu

    kwanza ww mjukuu hiyo cm ya touch hujajua kuitumia omba mtu akufundishe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maadui watatu wa Mwanadamu

    Duh!!mm nakabiliwa na yote haya matatu daah!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi tatu zinazolalamikiwa sana na watu

    Its true inawezekana huyu jombaaa hajui maana ya taasisi ni nini aisee.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi tatu zinazolalamikiwa sana na watu

    Sasa ww uliyoleta hii madaa!!Takukuru hapo unailaumu kwa lipi!?Unajua ukomo wa Takukuru ktk kushughulikia vitendo vya rushwaa!?Mm nafikiri ungeilaumu mahakama sio takukuru jombaaa.Takukuru haina meno jombaaa.Wakipewa meno ndio utauona mziki wake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Billionea Davis Mosha

    Duh!!kaazi kwelikweli.Hongera kaka.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la mgomo wa abiria nchi nzima

    Duh!!mm napita wajameni
Back
Top Bottom