Recent content by mkunangwa12

  1. M

    JamiiForums Lissu na wasaliti wenzake walikuwa wanakata mkono unaowalisha? Wapoteza mvuto baada ya Magufuli kuondoka

    Yaani haina pointi kabisa yaani kwa uelewa wako mbovu unafikiri nani aliyefanya mchakato mzima wa kumpiga risasi kama sio magufuli? Aliyewaondoa walinzi kwenye nyumba aliyokuwq akiishi lissu ni nani?Jitafakari kabla hujapost
  2. M

    JamiiForums CHADEMA chama kilihokosa muelekeo

    Nafikiri umekosa cha kuandika kenge wewe hata hujui chama ambacho makini kuliko vyama vyote nchini,kama unalipwa posho na ccm waambie karibu posho zinasitishwa kwa kuwa 2025 chadema inashika dola
  3. M

    JamiiForums Vyama vya upinzani mjifunze kwa Zitto Kabwe

    Unamsifu zitto ndumila kuwili huyo,ana tabia ya kusaliti wenzake,sio mtu huyo Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  4. M

    JamiiForums Ukiachana na Mbowe, Wanachama wengine wa CHADEMA wenye siasa za Kistarabu ni Mchungaji Msigwa na John Mnyika

    Unajisumbua kumkaribisha mchungaji,haji huko CCM kumeoza
  5. M

    JamiiForums Kasi ya Rais Samia yawapoteza CHADEMA katika ramani ya siasa, hakina tena ushawishi kwa Watanzania

    Hamna kitu,wewe unajipa matumaini kwa kuwa wewe uko ccm,kaa hivyo hivyo kima wewe,ila kuna siku utaelewa tu kama ccm mna chenu hapa Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Mwenyekiti BAZECHA: Mwigulu Nchemba ni mwizi, tapeli na fisadi namba one

    Hafai hata kwa dawa mwizi na Jambazi mkubwa sijui kwanini Samia alimteua,Ajiuzulu mwizi huyu,Samia fukuza huyo Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  7. M

    JamiiForums Michakato na vikao vya CCM vinapokaa hufuatiliwa kwa karibu na Mamilioni ya Watanzania

    Hakuna kitu, ccm haina jipya kwa zaidi ya miaka 60 Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  8. M

    JamiiForums Namtangaza rasmi Luhaga Mpina kuwa mrithi wa Magufuli

    Mnafiki mkubwa huyu Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  9. M

    JamiiForums Kikosi Kazi cha Profesa Mkandala kifungue thread ya kupokea maoni ya WanaJF kuhusu Katiba Mpya

    Hakuna kitu hapa ni upuuzi mtupu,hakuna kikosi kazi zaidi ya wasaliti kujifanya ndio wakusanyaji maoni,hamna kitu Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  10. M

    JamiiForums Serikali kutoa ruzuku ya bilioni 100 kunusuru bei ya mafuta. Yaomba mkopo IMF na Benki ya Dunia

    Hapo ni punguzo la sh.100 tutegemee Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom