Recent content by mkumi2024

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

    Wee jamaa Huwa ni mjinga mjinga Sana,, Mambo mengine uwe unakaa kimyaa tu yapite!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Alivyoifanya Mobutu Congo DR ndio wanavyoifanya CCM Tanzania. Ni suala la muda tu Tanzania itakuwa kama Congo

    TISS na hao viongozi wa Dini ndo machawa wenyewe kuliko Mwijaku
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

    Vijana bhana,,,MTU analeta hoja yenye uhalisia wew unaleta blah blah,, na assumption mara mwingine Etc,, ambaye hayupo na hawez kuwepo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

    Ndo maana huna kampuni,, sidhani pia Kuna msabato pure anaweza kuacha kusali kisa hizi ajira ambazo pia chance ya kupata 0.1
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya wa CHADEMA hauna mpango mkakati wakujitegemea kiuchumi wala kujiendesha bila kuomba pesa kwa wananchi masikini

    Elimu YETU ichunguzwe kama mtoa mada ni graduate,,, Kwa hiyo hizo Kodi na Tozo wanazotumia serikali na CHAMA tawala zinatoka Kwa watanzabnia Matajiri??? Siasa za Tanzania zimejaa watu wapumbavu
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

    Acha ujinga mwanamke unampa sifa zote hiz,,, si ubadilishe din wew
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

    Ngono imetawala Sana akili Yako kijana,, Kwa lipi hasa la kushukuru baada ya Tendo la ndoa??
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimpeleke mtoto shule ya milioni 1.5 au hela nimuwekezee UTT au hisa?

    Achana na huyo mjinga Mdogo wangu,, hana lolote angalia hata username yake atakuwa ni chawa wa wakubwa,,, Focus kwenye ushauri chanya
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwani Dar hakuna Wanawake?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

    An idiot and brainwashed mind,, utakufa maskini wewe,, Kama security Yako ni ajira ya UALIMU!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

    Kwa hiyo wote ambao hawana ajira serikalini hawana security??? Hili ni tusi Kwa wakulima na wafanyabiashara wa Nchi hii tunaolipa Kodi,, Inatakiwa uporwe cheti Cha chuo kama unacho Ili ubaki kuwa tegenezi maana inaonekana elimu haijakusaidia chochote Zaidi ya kuwa tegemezi Kwa serikali ikupe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

    Wewe ni mpumbavu Sana yaani ualimu nayo ni kazi ya mtu kuijutia??? Walahi tuna vijana wa Hivyo Sana,,, Kuna sekondar ngapi za serikali unaweza kukuta waalimu wamekuja kazini na nje kwenye parking zimejaa RANGE,,,
Back
Top Bottom