Mafundi wa ukweli wapo mkuu na inawezekana wengine wamo humu.
Ushauri wangu ukipata trip ya Dar njoo na picha nenda msimbazi centre ulizia garage ya makapuchin kuna mafundi pale, mchina akasome!
Na uzuri wao hawapokei gari ilimradi wanapokea bali watakupa mihadi lini ulete baada ya kumaliza...
Kazi ya kusaga sumu ni kaazi kweli kweli! Ukiifanya kwa ufanisi na kwa muda mrefu madhara yake ni kama haya ya kutaka uwe na warithi wengi watakaosaga sumu pia
Hii jamani imekaa njema sana nimeifurahia sana! Kama mahakama imeona kuleta wabunge toka Zanzibar si issue, basi uchaguzi na uendelee sasa maana kila chama si kina wabunge kutoka Zanzibar...., wananchi wanataka kutumikiwa kwa karibu na baraza lao la madiwani...
Kuna hatari kubwa kwamba utapata wa kukuoa ambaye naye amechoka kumsubiri aliyeahidiana naye! Hatari ya jambo hili ni kwamba wote mtaishia kuiepa ndoa yenu na kuchepukia kwa hao mliokuwa mmeahidiana nao.
Kuwa makini
Maelezo haya yana-hold if and only if huyo mke anaye mume mchakarikaji; ikiwa ni kinyume chake (yaani mtafutaji ni mwanamke), hata ukimtia mimba atadai matunzo ya mtoto...
ONYO: Mke wa mtu sumuuuuu, shauri yako!
Sawa hata humu wamo wanaoweza kutukana, kama unabisha omba waku-pm matusi yatakusaidia siku mama watoto wako amesafiri utakuwa unayosoma kisha unawahi toilet
Kwa kuwa umeruhusu hukumu, naomba nikuhukumu kwamba japo ulimjibu kwamba uaminifu wako si kwake tu bali binadamu wanatakiwa kuwa hivyo; hapo ulidanganya na wewe si mwaminifu maana umezini naye tena baada ya kumkana mkeo mbele zake na Mola wako.
Ulitakiwa kujihakikishia kwamba huyo ndiye mmiliki...
Kikubwa hapa ni kwamba hakuna atakayepoteza ajira kwa maana ya mshahara labda iwe ni kwa kashfa na matatizo mengineyo. Lakini watapewa kazi gani nadhani hiyo ni tatizo dogo sana, wengine wameshasema hapa kwamba kuna u-RAS, DED, n.k., lakini pia wengine wanakaribia kustaafu, wanaweza kuomba...
Japo sijui nilitarajia sura zipi katika baraza tena baada ya kusubiri kwa muda mob; lakini itoshe tu kusema sijavutiwa kabisa na wengi wao. Tumuombee tu lakini naona hatari kwamba tumechagua kushindwa tangu mwanzo katika baadhi ya wizara
Ukiangalia yanayoendelea kwa sasa unaweza kujiuliza maswali kadha wa kadha! Hili la jana tu la usafi linafikirisha sana. Niseme kutoka moyoni kabisa ni jambo jema sana tena sana kwa hatua hii na inatakiwa iwe kila tarehe 9 ya kila mwenzi bila kujali itaangukia siku gani..! Swali ni je kwa...
Hadi leo huwa natofautiana sana na mke wangu juu ya kumpeleka mtoto wetu wa shule ya msingi katika shule za boarding. Ni mtundu na usikivu wake kwa maelekezo hasa awapo home ni wa shida sana hivyo mke wangu huwa ananilaumu kwa nini sikumpeleka boarding! Lakini huwa namwambia boarding chache sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.