Recent content by mkulusimba

  1. mkulusimba

    Waziri wa Afya ni bora ungeanza na mchakato wa Bima ya Afya kwa kila Mtanzania kuliko kutoa agizo kama hili

    Sisi ni matajiri hivi via gharama vya matibabu tuvilipe tu upinzani unataka wapi sasa, Si upinzani tumeuzika?
  2. mkulusimba

    Nani atampigia mwenzake saluti kati ya Meja Jenerali Jacob Kingu na IGP Sirro?

    Katibu MKUU in boss WA polisi, magereza NA uhamiaji hivyo wakuu WA majeshi hayo wako chini ya Katibu mkuu
  3. mkulusimba

    Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

    Wakati mwingine vyeo ni tofauti mfano kada WA ccm darasa la saba akiwa rc au waziri WA ulinzi atapigiwa salute kuanzia cdf NA wengine, kuna vyeo vya kimuundo NA vya uteuzi, hata kama MTU ni mgambo akiteuliwa kuwa MKUU WA majeshi itakuaje
  4. mkulusimba

    Sheria ya Elimu inamruhusu mwalimu mkuu au mtu aliyekasimiwa madaraka na mwalimu mkuu kutoa adhabu ya viboko,si Mkuu wa Mkoa

    Hoja ni kufuata utaratibu, utaratibu haukufuatwa uliwahi on a wapi jwtz anakuja kukamata wahalifu
  5. mkulusimba

    Mradi wa bandari Bagamoyo pamoja na Magufuli kusema ni wakinyonyaji lakini unatekelezwa!!!

    Waelimishe wanaandika wasioyajua bado tunaimani NA Jk
  6. mkulusimba

    Kigwangalla na hatma ya jamii ya kimasai washio ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro

    Kwan hizo b3 zinagawanwa NA wamasai gani? Wamasai wangekuwa wanapata hayo mabilion wangekuwa matajiri NA kazi za ulinzi wangeacha. Mimi nadhani wahamishe wanyama wawaachie eneo lao
  7. mkulusimba

    Kuitwa kwenye usahili TANESCO.

    Tayari tarehe 19 septemba tembelea www.ajira.go.tz
  8. mkulusimba

    Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

    Duuuu noma sana
  9. mkulusimba

    Halmashauri ya Kishapu kuhakiki kadi za benki za watumishi wake. Je, kadi hizo ni mali ya Serikali au mtu binafsi?

    Kwani zikijaguliwa NA mkurugenzi NA mwenye kadi anadaiwa ndo kusema deni litakuwa limeisha? Au mkurugenzi atawalipia madeni,au mkurugenzi atawatunzia hizo kadi wakitaka Ku draw PESA wanakwenda kwake? Mimi naamini zitakaguliwa zoezi likiisha zitarudi kwa wakopeshaji
  10. mkulusimba

    Wanaume wanahangaika sana

    Utaendelea kupata tabu sana kama VP muombe mrudiane, eti kademu kake kabaya unaumia kuona dushe ulilokuwa ukilitumia kutumiwa na mwingine kuwa mpole. Jiwe lililoachwa na waashi sasa limekuwa msingi.
  11. mkulusimba

    CHADEMA matatani kwa ufisadi Tarime; Waziri Mkuu aunda Tume ya Uchunguzi

    Lumumba hawajielewi wanaendeshwa kama rimoti
  12. mkulusimba

    Mtu anafukuzwa kazi kwa barua tena ofisini sio hadharani

    Kama makonda amekosea huyo aliyezimia na yeye ampeleke mahakamani, kama anadhani ana haki hats ndugu zetu waliodhulumiwa hao wazimiaji ndio watoa nyaraka za uongo kama ushahidi mahakamani then tunashindwa kesi zetu wao wakitumbuliwa wanataka haki, kama no haki wangranza wao kutoa haki.Ukiua kwa...
Back
Top Bottom