Recent content by mkululu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    Mmh! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi zaidi kuelekezwa kwa Zitto Kabwe huku watuhumiwa wakila keki ya taifa.

    Za kyambianwa changanya na za kwako Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi zaidi kuelekezwa kwa Zitto Kabwe huku watuhumiwa wakila keki ya taifa.

    Ngoja nikuambie! Kipindi hicho pesa ya bajeti ilivyokuwa inapitia bungeni na kupangiwa mahesabu, ilikuwa inapigwa tuu, ndipo tukapata neno IFISADI. Kwa sasa pesa inatumika vizuri, miradi ya maendeleo inaonekana wazi, Gawa wanaolaumu mgao hawana tena, ndiyo maana leo wanalialia kila siku...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kosa la Tundu Lissu ni nini?

    Sio kama anapigiwa magoti! ni utaratibu tu. Wa kawaida na uungwana. Kama alivyomtoa babu Seya au Elizabeth jela. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kosa la Tundu Lissu ni nini?

    Hajanyimwa pesa ya matibabu, ila kulikuwa na kotuaminiana kwa maslahi ya kisiasa na ndiyo maana taratibu ya mgonjwa kuhamishwa haukufuatwa. Na ndiyo maana kwa hili Lisu anaonekana anatapatapa kwenye nchi za magharibi na kubwabwaja ovyo ikiwa na maana Chama chake hakikufuata utaratibu, ila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi zaidi kuelekezwa kwa Zitto Kabwe huku watuhumiwa wakila keki ya taifa.

    Hivi ni kwanini Zitto alitimuliwa Cdm? Au huyu jamaa ni ndumila kuwili. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Mpayukaji mwingine huyooo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri Prof. Mbarawa, Juma Aweso na Prof. Kitila Mkumbo kwa kuinyosha wizara ya MAJI

    Kama ule wa kijiiini kwenu. Au huna kwenu wewe hapa Tanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    We mbona hujatekwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Tumia akili nyepesi kidogo, hilo neno limekosewa naamini alikuwa na maana ya neno Bunge. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Wajinga wenzie kama wewe ndo anatoa nondo, kwa waelewa wa mambo tunaona anapayukapayuka tuu na hana maana wala tija tena kwa taifa. Arudi bongoland tuje tupambane kwa hoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Atachemka tyuu, wala msihofu! Siku zote mbio za sakafuni huishia ukingoni. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Nitawasweka ndani viongozi wa siasa wanaowakejeli viongozi wa dini mitandaoni; aagiza barabara moja jijini iitwe Kardinali Pengo!

    Kwanini unaimba taarabu na kutoa vijembe vya kwamba unanung'unika? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Nitawasweka ndani viongozi wa siasa wanaowakejeli viongozi wa dini mitandaoni; aagiza barabara moja jijini iitwe Kardinali Pengo!

    Ungekuwa mbunifu ungetoa hilo wazo mapemaa ili lifanyiwe kazi, sio unasubiri wenzio wakutafunie halafu wewe umeze tyu! Hapana nawe kuwa mbunifu kidogo siku nyingine. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom