Hili la kamati za ulinzi wilayani kutaka ipewe ajenda za mikutano ya ndani ya vyama vya siasa liko kikatiba?!

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
6,408
2,000
Hebu mnaojua tuambieni wengine hatujui yanayoendelea, siku hizi wapinzani wamekuwaje ukilinganisha na zamani?

Maana vyama vya upinzani havikuanza leo?

Au nyie wapinzani kwani mmekuwaje tena jamani hadi mnadhibitiwa kiasi hicho?
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,140
2,000
Labda ile hali ya kuwafanya watu wapige pushups iliwaudhi sana
Hebu mnaojua tuambieni wengine hatujui yanayoendelea, siku hizi wapinzani wamekuwaje ukilinganisha na zamani?

Maana vyama vya upinzani havikuanza leo?

Au nyie wapinzani kwani mmekuwaje tena jamani hadi mnadhibitiwa kiasi hicho?
 
rmajani

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
461
500
Wapinzani wakome kwa nn wasionyeshe kua hiyo hali hawaihitaki na kupambana na huo wanahita udharimu
 
Uwazitu

JF-Expert Member
Aug 19, 2019
1,415
2,000
Haiingii akilini mkuu wa wilaya anawaagiza polisi kuingia kwenye ukumbi wa mikutano wa chama cha siasa wakati kikifanya mkutano wa ndani.

Huu ni moja ya mkakati wa kuondoa hali ya amani na mshikamano tuliyo nayo watanzania. Haiwezekani polisi ambao tunawalalamikia kila siku kuwa wanjiingiza kwenye siasa kwa kukipendelea chama tawala leo hii wapewe nafasi ya kuingia kwenye mkutano ya ndani ya chama cha upinzani. View attachment 1219911

IGP SIRO UNAONA HIYO?
 
MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
1,793
2,000
Naomba mwenye ufahamu wa sheria za vikao na mikutano ya vyama vya siasa atujuze Tafadhali.

Chama cha siasa kikiwa na mkutano huenda polisi kutoa taarifa ili wapatiwe ulinzi hilo linaeleweka.
Sasa hili swala la wakuu wa wilaya hawa akina Kasesela kutaka wawe wanapewa ajenda za mikutano kabla limekaaje?

Wanasiasa wanapita Tanzania itabaki siasa siyo uadui.

Maendeleo hayana vyama!
Wakati mwingine unakua na hakili kidogo wakati mwingine tena zinachwea chagua kua moto au baridi
 
WAKO WAPI WATU WAKO

JF-Expert Member
Sep 26, 2017
1,663
2,000
Naomba mwenye ufahamu wa sheria za vikao na mikutano ya vyama vya siasa atujuze Tafadhali.

Chama cha siasa kikiwa na mkutano huenda polisi kutoa taarifa ili wapatiwe ulinzi hilo linaeleweka.
Sasa hili swala la wakuu wa wilaya hawa akina Kasesela kutaka wawe wanapewa ajenda za mikutano kabla limekaaje?

Wanasiasa wanapita Tanzania itabaki siasa siyo uadui.

Maendeleo hayana vyama!
Ushamba ni mzigo mpya kwa Watanzania....Mambo ya kijinga sana.
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,028
2,000
Naomba mwenye ufahamu wa sheria za vikao na mikutano ya vyama vya siasa atujuze Tafadhali.

Chama cha siasa kikiwa na mkutano huenda polisi kutoa taarifa ili wapatiwe ulinzi hilo linaeleweka.
Sasa hili swala la wakuu wa wilaya hawa akina Kasesela kutaka wawe wanapewa ajenda za mikutano kabla limekaaje?

Wanasiasa wanapita Tanzania itabaki siasa siyo uadui.

Maendeleo hayana vyama!
Lipo kwenye kipengele kidogo cha katiba ya wapumbavu iliyofanyiwa marekebisho hapo jana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom