Recent content by Mkulukumwao Mndewa

  1. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Nyani katema bungo ; Trump akubaliana na Putin Urusi kuingiza tani zake za Diesel Marekani na kwenye soko la Dunia

    Tangazo la Trump kwamba Putin atasambaza dizeli kwa Marekani, likiungwa mkono na Treasury waiver ya haraka inayosimamisha utekelezaji wa vikwazo dhidi ya Russia, linaonyesha mambo matatu kuhusu mahali ambapo vita yake dhidi ya Iran vimemfikisha. Kwanza, madhara ya vita hivi alivyochagua...
  2. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Picha Halisi ya Bwana wetu Yesu Kristu.

  3. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Ten Holy Commandments of Mzee Punch 1) Thou shall not cut the queue (antilog) in the cafeteria 2)Thou shall not sit on "Mzee Punch's” high table (the first table at the entrance of Harvard cafeteria); (3) Thou (Female students) shall not attend and partake in evening – 4:00 p.m. tea; (4) Thou...
  4. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Mzee Punch kilikuwa ni kikundi cha wanafunzi, “Wapanchi” na ni secret society Inasemekana ilianzia mwaka 1970 hasa baada ya kucheleweshewa boom baada ya Nyerere kukataa kuogeza Mzee wangu alimaliza hapo mwaka huo na kina Mu7 na ndiyo ilikuwa inaanza. Wengi walitoka Faculty of Engineering (FoE)...
  5. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kukaribia 2029 na ongezeko la Mafarakano(vita) kimataifa na Uvunjifu wa Sheria (lawlessness) Kitaifa

    Oh, the irony. You’re lecturing others about English while writing like autocorrect gave up halfway through. Misspelling may not be a grammar error, genius but your incoherent sentences, broken structure and confused argument are definitely evidence that English, let alone Geopolitics isn’t...
  6. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kukaribia 2029 na ongezeko la Mafarakano(vita) kimataifa na Uvunjifu wa Sheria (lawlessness) Kitaifa

    Ah yes, 2029 the year your mysterious “prophecy” finally makes sense in the septic tank above your neck Calling someone’s skull “filled with shit” while writing “ scull” , “I’ll wasting my time” “to late” is spectacular irony. Maybe let 2029 expose the grammar teacher and spellchecker first...
  7. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kukaribia 2029 na ongezeko la Mafarakano(vita) kimataifa na Uvunjifu wa Sheria (lawlessness) Kitaifa

    Low IQ “Big intelligence,” yet you’re struggling with the most basic question: where did 2029 come from? The Quran, a typical distraction, where does the discussion come from? Listing politicians, dates, alliances and secret Muslim fantasies doesn’t magically turn speculation into evidence...
  8. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima

    Hawa wate walijaribu kuufuta uislam, wakihisi ni tatizo kwao Wakianzia na baba yake mdogo Muhammad,( Abu Lahab) hapo waislam wakati huo hawafiki 6 (sita) duniani Hapo kuna wafalme, maPapa, majememdari wa vita, marais na wazir wakuu wababe waliowahi kutokea duniani Sasa nyie wengine mtaweza kwa...
  9. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kukaribia 2029 na ongezeko la Mafarakano(vita) kimataifa na Uvunjifu wa Sheria (lawlessness) Kitaifa

    Hii ni ile aina ya analysis ambayo mtu anaanza na hitimisho, halafu anatafuta matukio ya dunia ya kulazimisha yaingie kwenye prophecy yake. Ukraine, Gaza, Iran, Hezbollah, Houthis, Turkey, France, UK, Spain, US, Brazil, Venezuela, kila kitu kimewekwa kwenye kapu moja, halafu hitimisho ni civil...
  10. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Makundi 7 ya Waasi yaungana kupindua Serikali ya Abiy Ahmed

    Ethiopia ni mojawapo ya nchi zenye migongano mikubwa zaidi duniani. Addis Ababa, mji mkuu, inabadilisha sura ya mijini ya Afrika. Kama unavyoona, inaonekana kama New York. Lakini nje ya mji huo, hali ni tofauti kabisa. Nchi iko kwenye hatari ya kuzuka kwa vita, huku makundi mbalimbali ya...
  11. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wairan wanavyosota na maisha kufuatia kizuizi cha majini na kikwazo vikali walivyowekewa na Marekani

    Religious fanatics like you rarely bother with facts when dismissiveness and accusations of religious bigotry are easier. If you actually have a substantive counterargument, make it. Otherwise, declaring yourself the possessor of some future truth doesn’t make your position any less speculative...
  12. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Hilda Newton Kumchafua Waziri Mkuu Hakikubaliki Popote Pale Duniani na Hata Mbinguni. Siku Yaja Atakapolipa Gharama yake Kwa Machozi.

    Kwa kumnukuu Mel Nyerere, kiongozi wa watu anapaswa kuwa msafi Hata kutuhumiwa tu inaondoa uadilifu wako Uadilifu ni hali ya kuwa safi hata watu wakiwa hawaoni Hata ukichafua chooni kwa kuwa uko peke yako na watu hawaoni huo si uadilifu
  13. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Hilda Newton Kumchafua Waziri Mkuu Hakikubaliki Popote Pale Duniani na Hata Mbinguni. Siku Yaja Atakapolipa Gharama yake Kwa Machozi.

    Aliyejichafua ni yeye Mwigulu aliyeacha mkewe nyumbani na kwenda kulala kwa mwanamke mwengine Hilda amefikisha ujumbe tu kuonesha aina ya viongozi tulionao wanaosaba isha umaskini kwa wananchi wao kuendekeza ngono zembe Mjumbe hauwawi
  14. Mkulukumwao Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wairan wanavyosota na maisha kufuatia kizuizi cha majini na kikwazo vikali walivyowekewa na Marekani

    Iranian leaders believe, with some justification, that they can endure even more economic and military pressure longer than the United States. For the Iranian government or regime the conflict is existential; while for most Americans it is best over and forgotten, with the hope that prices at...
Back
Top Bottom