Recent content by Mkulngwa

  1. Mkulngwa

    Msaada jinsi ya kubadili kambi jkt

    Nenda kambi yoyote unayoitaka utawaeleza kuwa nmechaguliwa kambi fulani kutokana na tatizo fulani nmeamua kuja hapa so no complication watakukubaliii.... So usjali hakuna ugumu juu ya hilo
  2. Mkulngwa

    Wanawake wa Dar tukutane hapa kujadili mstakabali wa wanaume wa Kinondoni

    Kikubwa zaidi wanawake was kinondoni mmebweteka kwani kwani unapanda gari ngapi ili ufike Temeke.... Njo TMK wanaume huku tukuonyeshe jinsi wanaume wa TMK tulivyo... Wengi wao ndio wanatuzalilisha wanaume wa Dar kwa kuwa mashoga.. matejah.. na kushindia chips kuku.. unahisi nguvu watatoa...
  3. Mkulngwa

    msaada nacte wakuu

    Amna shidah mkuu.... Kikubwa zaidi kama mfumo haujafunguliwa rasmi mengi yanaweza kutokea ktk mfumo was mtandao.... Either waweza kufanya payment isifike au ikafika ila uspate huduma stahiki hivyo kuweka tangazo Lile inawalinda kwa namna moja hau nyengne kwamba lolote litakalo tokea...
  4. Mkulngwa

    Eti ukimaliza form six kipi bora kuenda jeshi au chuo kikuu? Wapi kuna posho

    Mdogo wetu jeshi linaitaji kulipenda na kujitoa usiende jeshini kwa ushauli wa watu sababu jeshi niwito... Na usisome ili upate ajirah maisha yamebadilika soma fakati ambayo hata Kama usipo ajiliwa utajiajili na utapata hela... Jalibu kuchanganua na kufikilia kabla ya kutenda...
  5. Mkulngwa

    msaada nacte wakuu

    Mfumo bado hujafunguliwa rasmi hivyo nivyema kuvuta subira....
  6. Mkulngwa

    Vyuo vya afya mbona ni vichache sana mwaka huu

    Shukran , Asante sana kwa taarifa
  7. Mkulngwa

    Vyuo vya afya mbona ni vichache sana mwaka huu

    Sijui wanaapply vipi na kwa link gani hawa wajuvi wa mambo maana mim kila nikiapply wanasema dilisha la udahili litafunguliwa hv karibuni...... Sasa sjui nakwama wapi wakuu....!!!???
  8. Mkulngwa

    Vyuo vya afya mbona ni vichache sana mwaka huu

    Mkuu vipi system bado wameifunga au ipo open kuanzia sasa hv..??? Maana naona km bado imefungwa
Back
Top Bottom