Bahati mbaya tuna vigezo vingi vya kupima wakati wa kufanya uamuzi wa kumpigia kura mgombea mbali na hizi iternet .sidhani km mawazo yako yanaweza kubalika kwa kila mtu maana hili ni suala tu la siku moja au mbili na baadae litarejea lakin kuna mengine ukikosea kuchagua utayakosa kwa miaka...
Suala la kuzimwa kwa internet katika kipindi hiki adimu kinachohitaji uhuru binafsi wa mawazo na utashi binafsi wa mwananchi kwa kiongozi anaeona ni sahihi kwake kumpigia kura ni jambo la msingi sana na pia litapunguza habar za uzushi na uchonganishi kwa watz na kupelekea uchaguzi tunaoufanya...
Mi nadhani kufungwa kwa hizi internet ndo kutasaidia kila mmoja kupiga kura kwa uhuru wake mwenyewe na akili yake binafsi bila kujazwa na propaganda za mtu maana tayar muda wa kampeni ushaisha hivo haihitajiki tena kuendelea kushawishi mpiga kura na ndo maana hata wakati wa kwenda kituo cha...
Umebaki tu sio mtu kawaida sione uliloeleza linalompa hizo sifa unazompa nadhani ww ni kampeni meneja wake tu sasa kwa taarifa yako huyo jamaa yako hana sifa hata moja ya kuwa rais wa nchi kama Tz, nchi haiongozwi kwa maneno maneno tu na majungu bali nchi huongozwa na mtu mwenye uthubutu na...
Propaganda mfu wanazofanya watz wa sasa hawana ujinga wa kiasi hicho kudanganywa,watz wanataka vitendo kwasasa na mtu pekee wa kuongea na kutenda si mwingine bali ni JPM.kesho tunampigia kura nyingi za kuvunja rekodi
Bora angewashauri nchi yake waache kuua raia wake weusi kama kuku.hii nchi yetu atuachie sie wenyewe na amani tuliyonayo tumitengeneza wenyewe bila wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.