Lakini ukikosea huwa unajua umechapia ila mzee hata hana habari kama kachanganya mafaili inaonekana spana zinawachanganya kwelikweli alafu naona ile nuru imepotea kidogo kama uzee umeongezeka gaflaAlimaanisha makabila yako 121 hapa Tanzania
Hilo la uzee, hata 'miye' (*in Tundu Lissu's voice) nimeliona.Lakini ukikosea huwa unajua umechapia ila mzee hata hana habari kama kachanganya mafaili inaonekana spana zinawachanganya kwelikweli alafu naona ile nuru imepotea kidogo kama uzee umeongezeka gafla
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nimerudia kusikiliza hiyo clip mara tano.
Nilichogundua ni kuwa kampeni imewaacha baadhi ya wagombea wakiwa hoi kiafya na kimwili,tena kiafya ya akili.
Pia nimegundua wasaidizi wa baadhi ya wagombea hawatimizi majukumu yao ipasavyo.
Nimegundua pale alitaka kusema makabila 121.
Nimegundua kuwa tuna tatizo kubwa sana la "vetting" kwa viongozi wetu.
Nimegundua kuwa "kuteleza kwa ulimi" na "ukilaza" unatenganishwa na mstari mdogo sana mithili ya unene wa wembe.
Nimegundua kuwa "ulimi kuteleza" ni jambo linalojirudia rudia kwa watu wasio makini na wasemacho.
Nimegundua kuwa kuna kila sababu ya kujiandaa kwa kuandika mambo unayoenda kuyaongea mbele ya hadhira.
Tayari mmepata pa kushikiliaKuteleza si kuanguka..ila inategemea umeteleza kwenye nini
Mleta mada ka edit hiyo video hajasema hiloTayari mmepata pa kushikilia
Naamini ilikuwa ni kosa la bahati mbaya..lakini si mhusika wala wapambe waliohangaika kurekebisha kauli hii potofu..kumbuka maandishi hayafutiki...!!!
Ni shida sana kumtetea mjingaMleta mada ka edit hiyo video hajasema hilo
Unadhani watapata jingine la kujadili zaidi ya hayo mambo yasiyokuwa na maana ?48 hrs to go,wafuasi nuru imekata wanajadili makosa ya kimatamshi.