Tahadhari ya kuzimwa kwa Internet ilitolewa mapema sana ila kama kawaida Wabongo ni wabishi sana

Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
banning socia; media is a lastly weapon commonly used by all DICTATORS worldwide
 
Uchaguzi unatakiwa kuwa free and fair.

Sasa unapozima mitandao ina maana kuna njia chafu zinataka zitumike.

Kwahio huu uchaguzi sio tena free and fair.

Washatuminya tena raia haki yetu ya msingi ya ku access internet.
Kwan tunapigia kura mtandaoni
 
Swala la kuzimwa kwa internet lilitolewa mapema sana mwezi huu mwanzoni na hata mwezi uliopita wa tisa, watu tukashindwa kuchukua tahadhari.
Mi nadhani kufungwa kwa hizi internet ndo kutasaidia kila mmoja kupiga kura kwa uhuru wake mwenyewe na akili yake binafsi bila kujazwa na propaganda za mtu maana tayar muda wa kampeni ushaisha hivo haihitajiki tena kuendelea kushawishi mpiga kura na ndo maana hata wakati wa kwenda kituo cha kupiga kura huruhusiwi hata kuvaa sare ya chama chochote.tupige kura tuache tume na mawakala wetu tuliowaweka wenyewe wafanye kazi ili tupate kura halali na zenye utashi wa mtu binafsi.mungu ibariki Tz
 
Uchaguzi unatakiwa kuwa free and fair.

Sasa unapozima mitandao ina maana kuna njia chafu zinataka zitumike.

Kwahio huu uchaguzi sio tena free and fair.

Washatuminya tena raia haki yetu ya msingi ya ku access internet.
Kwa hiyo wewe na akili yako kabla ya mtandao palikuwa hakuna uhuru wa uchaguzi, punguza kiwango cha ushamba ndg, uhuru wa uchaguzi na internet havihusiani.
 
Uchaguzi unatakiwa kuwa free and fair.

Sasa unapozima mitandao ina maana kuna njia chafu zinataka zitumike.

Kwahio huu uchaguzi sio tena free and fair.

Washatuminya tena raia haki yetu ya msingi ya ku access internet.
Boss hatupigi kura mitandaoni bali mitandao ilitusaidia tu kufanya kampeni.
 
Mi nadhani kufungwa kwa hizi internet ndo kutasaidia kila mmoja kupiga kura kwa uhuru wake mwenyewe na akili yake binafsi bila kujazwa na propaganda za mtu maana tayar muda wa kampeni ushaisha hivo haihitajiki tena kuendelea kushawishi mpiga kura na ndo maana hata wakati wa kwenda kituo cha kupiga kura huruhusiwi hata kuvaa sare ya chama chochote.tupige kura tuache tume na mawakala wetu tuliowaweka wenyewe wafanye kazi ili tupate kura halali na zenye utashi wa mtu binafsi.mungu ibariki Tz
Nikweli ila wao walifunga kabla muda was kampeni haujaisha.
 
Back
Top Bottom