Recent content by mkulimasana1

  1. M

    Tuwe makini na juice hizi jamani{ Juice za Azam}

    Siyo lazima uwe umeoa ndiyo utumie juisi ya asili (isiyo ya kiwandani)! Suluhisho la matatizo kama hayo ni kubadili mtazamo na kujenga tabia ya kutumia matunda na mbogamboga za asili.Tenga fedha na muda katika ratiba zako . Nenda sokoni nunua matunda kama vile machungwa,maembe,mapera,parachichi...
  2. M

    Kagame kumuiga Magufuli katika kupunguza matumizi

    Nami nimesikia BBC jana jioni.Hongera Rais Magufuli kwa kazi nzuri.Kama watu wa nje wanamuiga, kwanini sisi watanzania tusimuige Rais wetu?
  3. M

    Ng'ombe & batabukini wanauzwa

    Nipo hewani,piga.
  4. M

    Ng'ombe & batabukini wanauzwa

    Niliona ni vizuri mhitaji aje kuwaona ndipo majadiliano ya bei yaanze.Naomba utumie namb 0719786521 na 0768069996 kuwasiliana
  5. M

    Ng'ombe & batabukini wanauzwa

    Ni kweli ndugu.Simu ninayotumia haina uwezo wa kuweka picha.Ni hizi za kubonyeza
  6. M

    Ng'ombe & batabukini wanauzwa

    Kilimahewa.Karibu na shamba la Mitamba
  7. M

    Ng'ombe & batabukini wanauzwa

    Ng'ombe jike wawili wanauzwa.Mmoja ana ndama wa miezi miwili (alipandishwa kwa chupa -AI),mwingine ana mimba anatarajiwa kuzaa Februari 2016 alipandishwa kwa (AI) naye.Pia bata mzinga na batabukini wapo.Nipo Kibaha.Mawasiliano:0719786521/0768069996
  8. M

    Mabanda ya kisasa ya kuku {chicken cages} naweza kupata wapi?

    Kuna kama kampuni tatu hivi.Hebu tafuta mtandaoni kampuni hii : BALTON...? (T) Ltd kama sijasahau jina.Niliwaona NANENANE Arusha 2015.HQ wapo Mikocheni Dar.Nitatafuta vipeperushi nikupe namba za simu.Kuna za kuku 96 na 192 etc.Kama una uwezo ni nzuri sana.Bei nilizoziona ni kati ya TZS 700,000/=...
  9. M

    Small scale beer production

    Je,na kinywaji cha 'BALTIKA' ? niliona kimeandikwa 'non alcoholic beer'
  10. M

    Bata mzinga na vifaranga wa bata wa kawaida wanapatikana

    Mimi ninao bata bukini ninawauza.Nipo Kibaha 0719786521/0768069996
Back
Top Bottom