Bata mzinga na vifaranga wa bata wa kawaida wanapatikana

bahati30

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
1,625
Reaction score
883
Bata mzinga na vifaranga wa bata wa kawaida wanapatikana,
Kwa bata mzinga wakubwa ni Sh.70,000-150,000 na bata mzinga wadogo ni Sh.30,000
Kwa bata wa kawaida vifaranga ni Sh.10,000.
Kwa atakaehitaji anitafute kwa namba hii 0753249862.Napatikana Dar. Karibuni sana
 
Mmmh amakweli nlikua sijajua yaani kifaranga cha bata ni 10,000???
 
safi sana nitakutafuta mwisho wa mwezi
 
Mkuu habari, mie nahitaji mayai ya bata mzinga na bata bukini ambayo yako fertile na yanaweza kutotoleshwa.. nahitaji kwa idadi yote itakayopatikana. Asante..
 
Kwa sasa hayapatikani kiongoz
 
Mmmh amakweli nlikua sijajua yaani kifaranga cha bata ni 10,000???

Kwa sasa itabidi ujue 2 coz hakuna namna. Hao vifaranga nilioainisha bei yake wanajitegemea, na wala usishangae coz kuna watu wanauza day old ducklings kwa sh. 8,000
 
Mimi ninao bata bukini ninawauza.Nipo Kibaha 0719786521/0768069996

Hao bukini unauzaje? coz kuna watu wengine wauza bei kubwa kama wanauza NYARA. Kwa ushauri, ukiwa unaandika tangazo tuliza akili na uweke taarifa zote muhimu.
 
Bata mzinga na vifaranga wa bata wa kawaida wanapatikana,
Kwa bata mzinga wakubwa ni Sh.70,000-150,000 na bata mzinga wadogo ni Sh.30,000
Kwa bata wa kawaida vifaranga ni Sh.10,000.
Kwa atakaehitaji anitafute kwa namba hii 0753249862.Napatikana Dar. Karibuni sana
Hebu nisaidie jinsi ya kukuza vifaranga maana wanakufa hovyo Hadi nakata tamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom