Recent content by mkulima2010

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa milioni 100?

    Mkuu njoo nikupe DAF XF mpya na trela yake kwa 75M ufanye kazi ya kutoa mizigo dar lusaka kwenda usd 8000 kurudi unarudi na copper kutoka kitwe unalipwa usd 4000 total 12000 usd times tshs 2000 exchange rate ya usd = 24milioni, kwenda na kurudi dizel lita 2000. dereva posho ni 700,000/=...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Partner kwenye kilimo

    beko mkuu wewe kodisha hilo shamba kwani hakuna mjinga ambae atakubali ujee ugawane nae mazao maeneo hayo bei ya kukodi shamba tena zuri lilo andaliwa tayari kwa kilimo ni 25000/ kwa ekari moja. Tukisema uchangie na mtu wewe mchango wako ni 1,250,000/= (25000 mara 50) jee upo tayari...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    unamfahamu emmanuel papian vizuri? Au unachuki nae kwakuwa sio masai kama wewe!!!! Nizamu ya wakulima kuongoza mwaka huu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Papian ang'ara mikutano ya kampeni Kiteto

    ndugu yangu acha unafiki na uongo bwana emanuel papian ni mtanzania, ameingia wilayani kiteto mwaka 1991 akiwa mwajiriwa wa serikali na akapangiwa kituo cha kazi dosi dosi akiwa bwana shamba, baada ya miaka 3 akahamia kijiji cha engusero akafunguwa kiosk huku akiendelea kulima nchinila...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Letter of credit: Faida na hasara zake

    They are often used in international transactions to ensure that payment will be received where the buyer and seller may not know each other and are operating in different countries. In this case the seller is exposed to a number of risks such as credit risk, and legal risk caused by the...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nina toa ushauri kwenye kilimo cha alizeti, mbaazi, maharage na mahindi

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA UZALISHAJI ALIZETI Kuchagua aina bora ya mbegu • Chagua aina bora ya mbegu inayovumilia magonjwa, wadudu, inayotoa mazao mengi na kiwango kikubwa cha mafuta. • Vilevile chagua aina ya mbegu ambayo hukomaa kwa wakati mmoja ili kurahisisha uvunaji. KUWEKA...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Joel Bendera, Tusaidie wakulima wa Kiteto, Wafugaji wanaingiza mifugo shambani kabla hatujavuna

    Mkuu kweli hilo ni tatizo sugu ila lazima tuangalie SULUHU Wakulima wanaonea sana lakini tatizo ni kwa viongozi wa wilaya kutukuwa na mpango wa matumizi bora ya ai mfano maeneo ya kijiji cha Langtomoni, lala, mbiri , msitu wa mtungusi wenye fujo kubwa kutoka boma la wafugaji hadi shambani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

    Mkuu kwa kilimo chetu cha Tanzania nakushauri ufanye utafiti kwanza hata kabla hujamua kulima or kununuwa trector nenda physical hilo eneo unalotaka kulima kaangalia changamoto zake zipojee kwani kilimo kina changamoto nyingi unaweza nunua trector na bado usipate chochote utakumbana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

    Tatizo lenu wengi wenu hamjue chochote kwenye kilimo ndio maana mnakuwa wabishi kuelewa NAWASHAURI MFANYE TAFITI JAPO NDOGO ELI MUWE NA HAKI YA KUONGEA MFANO HAPO KIBAIGWA SIO MBALI SUNDAY MOJA UNAWEZA KWENDA ASUBUHI JIONI UKARUDI UPATE KUONA HUKO KWENYE FIELD KUKOJEE UNAENDA KWENYE...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

    Watu tumezidi sana kulalamika tumekuwa wagumu kukamata fursa suma jkt matrector ya mwanzo walikuwa wanatoa kwa masharti nafuu sana ulikuwa ukitoa 6milioni unapewa farm trak horse power 75 (hiyo ni sawa na ford 6610) ukitoa milioni 9milioni unapewa new holland ambayo teknologia yake ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

    Ningekuwa dalali nisingewambia watu waende direct kwa wauzaji, mkuu mimi huwezi ni shaweshi hata kidogo kununuwa tena used ukifanikiwa kupita kibaigwa ulizie kijiji kimoja kinaitwa hemba hemba wana trector zaidi ya mia tatu zote ni mpya na ndio kijiji wanatoka wakulima wakubwa wenye...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nina toa ushauri kwenye kilimo cha alizeti, mbaazi, maharage na mahindi

    Mkuu kijunguu ardhi yake ni nzuri sana na maeneo yote yanazunguka kijunguu mfano mbigiri, msitu wa mtuanguzi,kisima, lengatei ni maeneo yenye rutuba na uhakika wa mvua
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nina toa ushauri kwenye kilimo cha alizeti, mbaazi, maharage na mahindi

    kuna mbegu nzuri huwa tunatumia tunachukuwa arusha , kama unalima handeni na kilindi ni ukanda mzuri sana, MKUU USISAHAU KULIMA MAHARAGE MAENEO YENU HAYO HASWA MAFISA, KWEDIBOMA, SONGE KWA MTAAZI, MSENTE HADI MKINGA KUNA ARDHI NZURI SANA KWA KILIMO CHA MAHARAGE, MAHINDI NA ALIZETI
Back
Top Bottom