Papian ang'ara mikutano ya kampeni Kiteto

Papian ang'ara mikutano ya kampeni Kiteto

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Emanuel Papian amezidi kug'ara kwenye mikutano ya kampeni Wilayani Kiteto baada ya kukubalika kwenye hutuba zake kwa kushangiliwa na wananchi pamoja na gari lake kusukubwa kama ishara ya kukubalika

Wakati Papian akipokelewa kwa shangwe katika mikutano hiyo Benedict Ole Nangoro amejikuta katika wakati mgumy=u baada ya zomeazomea kutawala katika maeneo mbalimbali akidaiwa kujibu hoja za wananchi wakimtaka aeleze kuwa alikuwa wapi siku zote

kukosekana kwa majibu hayo kumewafanya wananchi kumzomea kila eneo huku katika kata ya matui Jeshi la Polisi likilazimika kuulinda mkutano kwa silaha kali na mabomu
 

Attachments

  • IMG_9529.JPG
    IMG_9529.JPG
    38.3 KB · Views: 297
Papian Emanuel mwenye ambaye ni mnyarwanda na ambaye alipata urais wa Tanzania Wa kuandikishwa 2003 ni Kati ya mapandizi ya serikali yake ya Rwanda kwenye mfumo wa utawala Tanzania.

Huyu bwana katika hali isiyo ya kawaida anawapa vijana pombe walewe na kuanza kupitia kutoka baa moja hadi nyingine wakiwatukana wagombea wengine.

Hata hivyo bwana huyu kudhiirisha Hana chembe cha uzalendo na Taifa la Tanzania na wanakiteto kwa ujumla amewaajiri Watusi kwenye maduka yake ya biashara huku akihofia kuwapa simu za mkononi akuhofia udukuzi wa mawasiliano yake na ndugu zake kutoka Rwanda.

Emanuel Papian ndiyo ambaye anatuhumia na wengi kuwa nyuma ya pazia ya machafuko ya Kiteto akiwa mzoefu wa mbinu zilizotumia kule Rwanda kusababisha mauwaji ya halaiki.

Tunaviomba vyombo vya ulizi na usalama view makini na watu kama Emanuel Papian ambao uzalendo wao kwa nchi hii ni wakutilia Shaka. Swali dogo la kujiuliza "je katika taifa hili ni wapi mauwaji ya kiholela yametokea ndani ya muda mfupi kama siyo Kiteto?" Hii ni ishara tosha kwamba aliyekuwa nyuma ya hili paazia la mauwaji ni mtu mzoefu.

Nafasi ya MNEC wa CCM katika wilaya Kiteto anaitumia kama kichaka cha kuficha maovu yake. Wilaya ya Kiteto tuna imani na Amina Mrisho na Benedict Nangoro ambao wote kwa pamoja wamewahi kuwa wateule wa Rais. Hivyo uzalendo wao kwa taifa siyo wakutilia machaka kama ya Emanuel Papian aliyekosa maadili na malezi ya kitanzania. Tunu alizotuachia baba wa taifa ni Amani, upendo, utulivu na mshikamano ambaye yangu Papian apate UNEC anataka kuzivunja. Kwa kutuletea desturi la chimbuko lake ambao haki ya msingi ya binadamu haizingatiwi.
 
Ni moja kati ya Wilaya zisizojielewa, majungu, elimu duni na wanafiki sana. . . . . . .Wataongozwa na yeyote yule bora tu aweze kuwahonga. . . . .!!!!
 
ni moja kati ya wilaya zisizojielewa, majungu, elimu duni na wanafiki sana. . . . . . .wataongozwa na yeyote yule bora tu aweze kuwahonga. . . . .!!!!
ndugu yangu acha unafiki na uongo bwana emanuel papian ni mtanzania, ameingia wilayani kiteto mwaka 1991 akiwa mwajiriwa wa serikali na akapangiwa kituo cha kazi dosi dosi akiwa bwana shamba, baada ya miaka 3 akahamia kijiji cha engusero akafunguwa kiosk huku akiendelea kulima nchinila akisadiana na mdogo wake aitwaye dokta, ndani ya misimu mitatu ya kilimo akaweza kuwa mkulima mdogo na kukuza biashara yake na kuwa maduka makubwa. Wanaofanya mauaji kiteto wanajulikana na wanapata support ya viongozi wenye asili ya wafugaji,wana kiteto wengi hawamjue mbunge wao nangoro na huyo mbunge ni mzigo bora apumzike ameturudisha nyuma sana kimaendeleo
 
ndugu yangu acha unafiki na uongo bwana emanuel papian ni mtanzania, ameingia wilayani kiteto mwaka 1991 akiwa mwajiriwa wa serikali na akapangiwa kituo cha kazi dosi dosi akiwa bwana shamba, baada ya miaka 3 akahamia kijiji cha engusero akafunguwa kiosk huku akiendelea kulima nchinila akisadiana na mdogo wake aitwaye dokta, ndani ya misimu mitatu ya kilimo akaweza kuwa mkulima mdogo na kukuza biashara yake na kuwa maduka makubwa. Wanaofanya mauaji kiteto wanajulikana na wanapata support ya viongozi wenye asili ya wafugaji,wana kiteto wengi hawamjue mbunge wao nangoro na huyo mbunge ni mzigo bora apumzike ameturudisha nyuma sana kimaendeleo

Wacheni kuhaha Papian baada ya nyendo zake kugundulika na kutiliwa shaka, aliamua au kwa hiari yake au kushauriwa kuwa cha kazi kwenye mfumo rasmi wa serikali kwani ingekuwa rahisi kufuatilia nyendo zake.

Hata hivyo narudia kusema kuwa pengine vyombo vya ulinzi na usalama view vimeenda likizo, jambo ambao halijawahi kutoka na halitawahi kutokea.

Baada ya kushinda uchaguzi katika nafasi ya UNEC na kwenda kufanya sherehe Kigali haitatokea kwa Mara nyingine tena!
 
Back
Top Bottom