Ndugu zanguni tunatakiwa tuwe na upeo wa kufikiria. yale mazungumzo yaliokuwa kati ya Maalim Seif na Amani Karume. yalikuwa sio mazungumzo ya maandishi kwa sababu yalikuwa yanalenga kuleta amani Zanzibar na kuachana na Siasa za chuki.
Mazungumzo yale yalikuwa ni mzungumzo pia ya kuunda serikali...
Mfianchi hayo unayoongea kama unashahidi nayo tunaomba utuwekee hapa. ila ukweli ni kwamba Azzan suala hilo alisingiziwa na ndio mbunge ambaye alijitoa hadharani na kusema kuwa kama kunaushahidi dhidi ya hilo "basi yeye alikuwa tayari kujivua Ubunge wake. isitoshe Shy-rose banji ni mwanamke...
Katika Masha yngu nimetokea kuchukia Anasa tena sana. na kipindi hiki nimefikia umri ambao nilazima niowe...nimemaliza masomo kazi sina. nimehangaika sana..ila huu huangaika nipate chochote na ninachopata kinanitosha mimi mwenyewe binafsi. naombeni ushauri nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.