Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa wilaya mpya ya kakonko mkoani kigoma wameusubiria kwa hamu 2015 ili wafanye maamuzi sahihi ya kuisimika madarakani.
Wadau kama mnakumbuka Bunge lilipita liliikubali hoja ya Kigwangala ambayo ilitaka serikali kutoa bilion 2 kwa mwaka wa fedha ujao. Lakini kamati ya bunge ilipotembelea wizara ya habari, vijana utamaduni na michezo walikuta hakuna fungu lililotengwa.
1. Kutokuwa na mgawanyo sawa rasilimali
2. Kulumbana juu ya udini, ukanda na ukabila.
3. Chuki baina ya kabila moja hadi lingine.
4. Mauaji yanayotekelezwa na vikundi vya watu.
5. Kulipiza kisasi .5. Mwisho vita.
Wadau wote wa maendeleo ya wilaya ya kibondo na mkoa wa kigoma kwa ujumla mnakaribishwa kwenye mkutano maalumu utakaojadili masuala ya maendeleo katika wilaya za kibondo na kakonko. Kwa undani zaidi soma attachment.
Form no.14a na 14b zilizojazwa kikamilifu. Memorundum & Articles of association copy 3 kama shareholder mko wawili au 4 kama shareholder mko 3. Kama huna form naweza kukutumia
Tunamwomba Rais wa china atusaidie hasa katika kuendeleza kilimo cha umwagiliaji pamoja na ujenzi wa barabara mfano barabara ya kigoma - nyakanazi.
Pili viwanda vijengwe mfano wiwanda vya nguo ili tuache kuuza pamba ghafi. etc.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.