Recent content by Mkulima Ruaha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Azam kwa kuwarahisishia wakazi wa Kigamboni maisha(Azam mwendokasi)

    He sasa sijui nishike lipi wakuu!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli maisha hayana formula?

    Ha ha ha hiyo nchi ni Norway Ulaya kazi tunazozikataa tz huko ndio tunazifanya
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Khaa ila wabongo tunamaneno jamani nimecheka duh...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji na Wavaa kaptula na Jeans

    Ni kweli uhamiaji wanakataza mi nilienda pale MWAKA jana nimevaa suruali nikazuiliwa kuigwa wakasema kama nataka mlinzi wa pale getini alikuwa mdada angeniazima kanga nijifunge ndio niingiie uzuri nilikuwa na mume Wangu na tulikuwa tunahitaji forms tu. Ikabidi mi nibaki ye ndo aende...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajali: Basi latumbukia mtoni na kuleta maafa

    Mto Ruaha mamba ni nyumbani kwao
Back
Top Bottom