Mr Bean.
Senior Member
- Jan 25, 2015
- 185
- 133
Wadau nipo hapa uhamiaji nimezuiwa na walinzi wa getini kwamba siwezi ingia nikiwa nimevaa kaptula al maarufu pensi. Nikiwa nimekaa hapo nje ya geti natafakari nikawaona mzungu mmoja na mkewe nimesema mkewe kwasababu kwajinsi walivyokuwa wamekaribiana japo wenzetu ni ngumu kutofautisha mtu na bintie.
Sasa kilichonishangaza ni hao wazungu wa kuruhusiwa kuingia tena bora ya huyo wa kiume huyo wa kike naweza sema alivaa kichupi. Wakati bado naendelea kutafakari nikaambiwa kwamba hata ukija umevaa jeans huruhusiwi kuingia uhamiaji.
Wadau hii imekaaje?.