Habari,
Nataka kuanza kujifunza vifaa vya mziki kama guitar na kinanda, wakati wa jioni kuanzia saa moja usiku kuendelea.
Naomba ushauri wa wapi naweza pata mwalimu au shule ya namna hii hapa dar kwa bei ambayo sio ghari?
We can see military wise they are all good and have everything in their arsenal to counter each other's capability.
Tunayoyaona sasa hivi kipindi cha vita utaona sehemu za kwanza kuzimaliza ni jizi defense systems na wote wanakuwa na maspy on ground and spy planes for this specific purpose.
As...
Haya mambo hayana baunsa kilichobaki ni kutishiana na kumalizana kiuchumi tu ila military wise they are all vulnarable and no one has upper hand over the other mengine ushabiki tu.
My friend it is not as simple as you think, haya mataifa makubwa wana layered defense approach before you come even close to s400 assets you will have to overcome attack aircraft and warning systems and many other options they have to destroy their enemy ambazo zote zipo integrated and...
Kuhusu kuiba ni kitu cha kawaida sana wote wanafanya hivyo.
Plus nimetoa specification za s400 ambazo ukicompare na uwezo wa f35 unaona haiwezi kupenetrat sikusema kwamba ilizidestroy but can engage more than 30 at a time and can overcome all counter meqsure f35 have from jamming to decoys...
Zinaendelea kupatrol koz ni international waters ni ruhusu kunabigate freely, plus that was a message that we see all the activities you are doing in these water and we are ready to respond in timely manner..
Vita za hawa watu haitegemei sana idadi kwa sasa bali uwezo wa equipments zao na how good they can engage an enemy equipment and destroy
Mfano one S400 air defense system inaweza kuingage more than 30 stealth aircraft za mmarekani and has already proven that current state of the art f35(its...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.