Recent content by mkulangoe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kuzaa nae!

    Ndakutafutia wapi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kuzaa nae!

    Ndakupna. Wapi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Betri zuri kwa ajili ya gari

    Mimi binafsi naona ya maji inadumu kama itakua inakaguliwa kwa wakati
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu?

    Je mwenye o- tabia hz hz?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kikazi ukiwa masomoni

    Ningeweza andika kila kitu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kikazi ukiwa masomoni

    Mwajili Mpanda alinisainia barua yangu ya ya siku 7 na kivuli cha hiyo barua yaani kopi yangu ninayo. Nikiwa Dar kabla siku 7 kuisha nimepewa barua ya kubadilisha uhamisho
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kikazi ukiwa masomoni

    Ilikua inasema your transfer from Dar to Katavi has been cancelled
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Jamani naomba mwongozo kama mtu una ndoa ya kanisani na mmeishi takribani miaka 20 nakujaliwa watoto wawili mke akazingua nikapata chombo kingine cha kislamu nikafata taratibu zote nikafunga nae ndoa kislamu tukajaliwa mtoto na mke wangu wa mwanzo ningali nae je sheria inasemaje?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kikazi ukiwa masomoni

    Nikiwa nasoma chuo bila kujua sababu nilipata barua kuamishwa kikazi kutoka Dar kwenda Mpanda na nililazimishwa niende bila kulipwa. Kweli nilienda kuripoti kwa gharama zangu nikaomba ruhusa siku 7 kurudi Dar kufuatilia malipo. Nikakubaliwa nikarudi kulalamika kuhamishwa wakati nasoma. Wakati...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Kama umefunga ndoa kanisani mkaishi na kupata watoto miaka zaidi ya 20 mkazinguana ukaenda funga ndoa ya. Kislam kwa taratibu zote uku mke wa kwanza ungali nae hapo unatafsili vipi
Back
Top Bottom