Recent content by mkukialex

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oya wekeni namba za simu niwaunge kwenye group la WhatsApp la betting. Kwa wale ambao wapo willing
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Niunge please 0763 9549 03
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa,Mbowe,Seif,Kingunge msiniangushe,msituangushe

    Ukawa wameshinda uchaguzi huu, japo fisiem walifanikiwa kuingiza kura nyingi fake. Paul Alex umeongea vyema sana. Watoe tamko kabla watu hatujapoa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

    Ngome zetu ambazo tunazitegemea.... Dar, arusha, moshi, iringa, Mbeya,mwanza. Mikoa iliyobaki tutagawana kama morogoro, Dodoma, Singida na mikoa mingine iliyobaki
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

    Mwanza yetu usiogope kabisa. Punguzeni pressure wana ukawa ushindi wetu huu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Nimekusanya matokeo kutoka vituo vyote ninaongoza, aitaka ZEC imtangaze mshindi

    Safi sana makamanda wa Zanzibar kwa kukubali kufanya mabadiliko
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mbeya wana balaa hao. Hawana makosa hao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

    Safi sana wana Himo ila hakikisheni mnazipiga moto. Polisi wakiondoka nazo ni tatizo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

    Hizo picha za Himo mimi ninazo ila nashindwa kuzituma
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Mtajuta kwanini mlimkata Lowassa. Kesho ndio hukumu yenu nyie mafisiem.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Didas Masaburi njia nyeupe Bungeni

    Hivi kwa akili ya kawaida tu Masaburi anaweza kushindana na Kubenea kweli???Kubenea anachukua kirahisi sana
Back
Top Bottom