Recent content by Mkufu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tanzania wadaiwa kuzipiga Malaysia

    Ni Zainab Kawawa juu ya Mbunge mwenzie aliezaa nae wa CCM mwenzie , na Catherine Magige pamoja na Joyce Mukya
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yafilisika, yahaha kupata mkopo kulipa wabunge

    Mimi ni mmoja wa wadau ndani ya Bunge ni kweli hali si shwari mpaka sasa posho hakuna na Bunge pamoja na bajeti yake inapata toka Serikalini ila tumeamua kutolalamika kwa kuwa tatizo la malambikizo linawagusa wafanyakazi wa Kada mbalimbali ngoja tukomae tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani atatosha kuwa Waziri wetu wa Fedha baada ya kifo cha Dk. Mgimwa?

    Hata mimi naunga mkono kwani Wavumao Baharini Papa bali wengine Wapo nami napendekeza jina la mdada mmoja mbunge wa viti maalum anaitwa Subira huyu amepiga shule vizuri ana CPA! MBA alikuwa Mkaguzi wa Hesabu za Serikali ni jembe anajua sana mambo ya Finances lakini kapewa eti UDC...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hoi haina pesa,chuo cha afya Bombo(Tanga) kufungwa jumatatu

    Sio Bombo tu , hata chuo cha Afya Mafinga kimefungwa leo wanafunzi wameambiwa waondoke hakuna hela ya chakula na kwamba walikuwa wafanye mitihani ya Semister ya PILI , wametaarifiwa kuwa watafanya wakati chuo kitakapofunguliwa pindi Serikali itakapotuma pesa , chanzo mimi mwenyewe nimepigiwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilya apiga marufuku wataalam kuvaa vizuri

    Huu ni uongo uliopitiliza kama unauhakika weka you tube hapo au clip nililuwepo na wala hakusema hayo maneno ! Inasikitisha uwanja huu kutumika vibaya halafu members mnachangia bila ya kujua .dc Huyu ni kipenzi cha wana muheza na hotuba yake ilikuwa inapigiwa makofi kila mara na wadau...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Bahi (CCM) ashikiliwa na polisi kwa kuomba rushwa

    Huyo badwell alishachukua rushwa halmashauri ya rufiji na mafia Halmashauri hizo kwenye kikao cha kamati yao alhamis hii wamerudishwa inaonekana badwel hakuwapa wenzie wakurugenzi hao wanalalamikia sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Salma kikwete abambikwa hundi ya mfano!!!

    Kajitahidi kwa yale mambo aliyoyafanya kupitia Taasisi anayoiongoza WAMA .Ukitaka tembelea hiyo Taasisi utapata taarifa za kina.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hizi Cheki hizi zina matatizo gani.. miye sitaki..

    Sina sababu ya kuweweseka , na hiyo shughuli ya uzinduzi wa Saccoss haikuwa ya kifisadi ! Mtaumwa sana ! Ni lazima kubalance, sasa imewekwa picha tu kwa nini isitafutwe habari yenyewe, yaani kukosewa kwa tarakimu tu ! Pili pili ziko shamba zakuashianini ? Wana kikundi hawajalalama , nyie vipi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hizi Cheki hizi zina matatizo gani.. miye sitaki..

    Wala hapendi sifa , sherehe hakuiandaa yeye , F/L kaalikwa tu na kwa taarifa yenu alichangisha taslimu Milioni Hamsini na Moja kutoka kwa wa hisani mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo wa Saccoss hiyo. Msitegemee tu taarifa toka kwa Mwanakijiji, nanyi pitieni mbona taarifa yanini kimefanyika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hizi Cheki hizi zina matatizo gani.. miye sitaki..

    Hiyo Saccoss si ya Mama Salma Kikwete, ni kikundi kimeamua kuanzisha ushirika huo na kutumia jina la Mama Salma Kikwete katika kuenzi jitihada za F/L . Mbona kuna majina mengi ya viongozi yanatumiwa katika masuala mbalimbali mfano Mashule mengi yamepewa majina ya viongozi, barabara pia, mitaa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hizi Cheki hizi zina matatizo gani.. miye sitaki..

    Waungwana hapa JF nimeamini USILOLIJUA LITAKUSUMBUA .Mama Salma Kikwete alialikwa kwenye uzinduzi wa Saccoss hiyo ambayo tangu awali iliomba kutumia jina lake kuenzi jitihada za Mama Salma katika kuchangia vikundi vya kina mama na pia kumuendeleza mtoto wa kike kupitia Taasisi ya WAMA. Waziri...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa WAMA mama Salma Kikwete akiwa Arizona!!!

    Waligawana kupitia mashindano ya michezo kuibua vipaji , mshindi wa kwanza,pili na watatu walistahili zawadi . Mbona umeona zawadi ya jezi tu ? Je nasaha akizotoa hasa kwa watoto wakike juu ya 3JS{JITAMBUE, JILINDE,JIPENDE ) sio zawadi ? Wabongo hamjambo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Namfagilia mhe mama Salma Kikwete

    Nipe namba yake !
  14. M

    JamiiForums Tanzania Namfagilia mhe mama Salma Kikwete

    Mada yangu haikuwa inawanzungumzia wajumbe wa Bodi, nilikuwa nafafanua tuhuma za kwamba F/Lady amewaweka ndugu zake kwenye Taasisi yake na pia wa dini yake , ndio nikatoa data hizo ambapo wadau mnaonekana kukosa uelekeo baada ya hoja hizo za maamluki na baadhi ya vyombo vya habari kukosa mshiko...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Namfagilia mhe mama Salma Kikwete

    Mhe Mama Salma Kikwete ni Mama wa Taifa hili (FIRST LADY ), alichaguliwa na Mhe Rais Jakaya Kikwete aliechaguliwa na Watanzania kuwa Rais wao .Wala sijatumwa na mtu yoyote, Mijadala haitasitishwa kwani mnaochukia mna wivu wa kijinga ! Familia haichuki , sema unaichukia kwa kuwa Mhe mama Salma...
Back
Top Bottom