Recent content by MKUDE SIMBA

  1. MKUDE SIMBA

    Wapi wanauza Nondo kwa bei ya jumla Arusha

    Poleni na majukumu, naomba kufahamishwa wapi naweza pata NONDO kwa tani bei ya jumla nzuri Arusha.
  2. MKUDE SIMBA

    Recruitment Portal ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kushindwa kufunguka

    Pia zingatia kuangalia yale maandishi mekundu yanakupa ujumbe gani, weka correct attachment type ukikosea sehemu ya ku apply haifunguki Sent using Jamii Forums mobile app
  3. MKUDE SIMBA

    Recruitment Portal ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kushindwa kufunguka

    unatumia kifaa gani kujiandikisha? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MKUDE SIMBA

    Recruitment Portal ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kushindwa kufunguka

    Mtandao wa Tigo unasumbua, tumia tofauti chief Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MKUDE SIMBA

    Plot4Rent Tunauza Mashamba na Viwanja

    still available?
  6. MKUDE SIMBA

    House4Rent NYUMBA YA KUPANGA ARUSHA

    sawa mama Debora, naomba namba yako
  7. MKUDE SIMBA

    House4Rent NYUMBA YA KUPANGA ARUSHA

    Nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala, jiko sebule, fensi, huduma ya maji ya kuaminika na ya kujitegemea umeme inahitajika maeneo ya njiro au moshono, budget laki 2.5. hapana madalali. Inbox hapa jamii forums kwa mwenye nayo.
  8. MKUDE SIMBA

    Asante mme wake alokuwa shemeji yangu narudishiwa gharama zote nilizogharamia demu

    hiyo hela ulimpa kwa makubaliano gani? kwamba akikataa kuolewa akurudishie? ulimkopesha? ni hela ya mahari? au ulikuwa unamnunua?
  9. MKUDE SIMBA

    Kwanini wanaume wa Kibongo tunapenda sana mademu wanene wakati Ulaya wanapenda wembamba?

    kwa hiyo unaona tufuate vya ulaya? au ulaya wafuate vya kwetu? au kila mtu awe na chaguzi zake?
  10. MKUDE SIMBA

    Anafunga ndoa mwezi ujao ila anapigwa nje balaa

    haya mjeda wa njombe kazi kwako
  11. MKUDE SIMBA

    Nafasi za kazi AICC

    Arusha International Conference Centre (AICC) invite qualified Tanzanians to fill the following posts :- AUDIT OFFICER (ONEPOST) RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II(TWO POSTS) NURSE II(ONE POST) ASSISTANT MEDICAL RECORDS TECHNICIAN II (TWO POSTS) For more details on the posts go to the Centre’s...
Back
Top Bottom