Bora ya watumishi wanapata japo kidogo kuna wazee wetu ambao ni wastaafu sasa wanazaidi ya mwaka mmoja hawajalipwa mafao yao....na hawajui watalipwa lini serikali IPO kimya haitaki kujua wastaafu Hawa wanajikimu vipi kimaisha baada ya kulitumikia taifa kwa kipindi kirefu..
Sent using Jamii...
Aina ya siasa unazofanya Zitto kwa sasa hazifanani kabisa na uwezo na nguvu yako kisiasa...waachie chadema wafanye siasa za matukio we endelea na siasa zako za kimkakati utalisaidia taifa achana na ukawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.