Recent content by Mkubwa hakosolewi

  1. M

    Hii ni zaidi ya special school mchango wake ni mkubwa kwa taifa.

    Mi shule ya msing nimesoma kijijin tena porin O'level nkachaguliwa shule ya kata. Advance nmesoma Kazima. Na sasahv nko chuo kikuu nasoma na hao vilaza wa kibaha wala cjaona cha ziada walichonacho kunishnda mimi. Hayo ni mambo ya kizaman bro, ni sawa na sasahv tunavyojsfia kusoma Udsm, lakin co...
  2. M

    Soma kidato cha 5 na 6 kwa Tsh 250,000 kwa mwaka

    Ha! Hv ni shule! Mi nkajua ni kituo cha masomo ya ziada, pigen kaz wazee lakin wateja wenu watakuwa 4m4 failures. Hiyo nayo ni chalange u have to work on that.ha! ha! ha! ha! ha! haaaaa!
  3. M

    English learning thread

    Mama wawil that is not the meaning of social network! Because even me am a victim of those phrases.please just write if you know exactly the use of these phrases i have had and i had had
  4. M

    Matokeo kidato cha nne 2012 kutangazwa tena wiki hii

    Tuache ushabki wala nini,zamani wanafunz tulikua tunasoma kimtindo tofaut na sasahv madogo wamekua vilaza mno,nakumbuka 4mII nilipata wastan wa 59 kwendaIII. 4m4,nkatabiliwa kufaulu na kwel 4m4 nkachomoka,lakn sasahv 4mII hakuna mtihan ndo mana madogo hawaogop,ila kboko yao 4m4.
  5. M

    Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

    Jaman naomba mnisaidia UDSM nawachukia! hv kwanin wanapenda kudharau vyuo vingne? wana upekee gani ktk raman ya wasomi dunian,wana vgezo gan vzur vya kujchukulia kama ni wasomi bora hapa nchin ? Oh! Ma God, i real hate them.
  6. M

    Karibuni - Application HESLB (Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu)

    Mh! Ujue swala la kupata mkopo halina uhusiano kabsa na ufaulu wako.kikubwa upate chuo,kwsababu sifja mojawapo ya kupata loan nikuchaguliwa chuo chochote. Kwahyo hilo lickupe shda mkuu fanya maombi yako mapema!
  7. M

    Wanafunzi wa chuo kikuu wapewa kichapo kikali baada ya kunaswa wakijiuza

    Jaman sasa imekua ni kero, inamana kila mwanamke anayeonekana ucku akijuza ni mwanachuo? Mbona mnakuza mambo,inamana wanachuo ndo wana maisha magum kulko watu wote mpaka kufkia hatua ya kujuza. Tafakar!
  8. M

    Hakika mapenzi ni mchezo wa ajabu sana

    Hayo cyo ya kujadil hum,pamoja na kwamba mi ni mgen!
Back
Top Bottom