Recent content by MKOTIRA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    Lengo kutueleza jinsi intelligence na politics zinavotegemeana ila kilihaririwa mno hichi kitabu nakumbuka kipindi nakisoma niko zanzibar enzi hizo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    Duh! I never expected this from you, hadi avatar umebafilisha? Hongera kwa fungu ulilochagua
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    Chahali ni mhuni tu anayedhani ana ubavu wa kuitikisa idara aliyoikuta iko imara, ajitafakari sana maana anachokifanya wala sio kipya sana na ngoma ikivuma Sana,,,,,,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katika hili kati ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Makonda na Watu wa Itifaki ( System ) nani yupo sahihi kwa 100%

    Kiti chake kilikuwa wazi na kiliandikwa jina lake ye kaenda kukaa VIP B
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fiesta kuzuiwa: Clouds wanaweza kuishtaki Manispaa na kudai fidia ya mabilioni, maamuzi yao yanaichafua awamu ya tano

    If they are willing to file any lawsuit I'm fully supporting it, kiukweli hapa nakunywa nawasikitikia vijana walifanya maandalizi sana, somebody here is to blame and my fellow officers we should at least show some integrity, my heart is deeply in sorrow as I see these young souls crying
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Aliye shooters mtwara aje kaunta
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kumteua mtu kuwa balozi, kumtengua na kumfikisha Mahakamani, idara inayofanya VETTING, na kushauri uteue ijitafakari

    Kama vetting isingekuwepo we hapo ulipo usingekuwepo, pia jua kwamba kuna vetting na after hiyo kuna performance ya mtu ambayo inategemea utashi wake binafsi kwahiyo usimpaumu aliyefanya vetting
  8. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kuingia shule ya bweni ya Serikali

    Poapoa umepita kipindi ya miaka kitambo au dot com
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kuingia shule ya bweni ya Serikali

    Oyooo, shule ipo nyumbani kabisa ile mi Mwana umbwe aisee
  10. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimejua ni nini maana ya demu mkali!

    Zipo system mkuu zinafukunyua hadi storage ya sim, tuishie hapo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Sehem gani mi nipo pia
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inashindwa kucheza na akili za Mbowe tayari ameshaweka kwenye kona nyingine

    Kwahiyo mnatuvuruga humu ili mabwana zenu watuwekee vikwazo,
  13. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimejua ni nini maana ya demu mkali!

    Hizo namba za fb ulizoweka duh au huna wasiwasi na ID
  14. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ndege mpya ya ATCL aina ya Airbus A220-300. Yaandikwa ''Dodoma, Hapa kazi tu''

    Oyoooo aisee ijee nitamuomba Chamuriho nipige hata deiwaka mwezi mmoja kama systems engineer
Back
Top Bottom