Recent content by mkorobwe

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tobaa! Nimedeti na demu Ana jinsia mbili anataka aniamze Mimi

    hapo ndio pa kuazia
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kibomba cha maji ndiye adui mpya wa mahusiano yetu

    Ila kwa ushahidi wa huu wa Hornet na Demis inanibidi tu Niache Kinywa wazi
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kibomba cha maji ndiye adui mpya wa mahusiano yetu

    ninapata ukakasi kuamini
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kibomba cha maji ndiye adui mpya wa mahusiano yetu

    duh. haya ni mapya kwangu!!!!!!!!!!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimeona wahudumu wa Bar wa Bachelor in Laws na Education

    alah. well said.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimeona wahudumu wa Bar wa Bachelor in Laws na Education

    nimependa hii signature yk " no matter where you go remember the road that will lead you home"
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I'm Confused, Niolewe ama niendelee kumsubiri?

    kwa leo sina mda wa kuandika kwa urefu. ila nina ushahidi wa wa wanaume ambao walikua na wanawake wa kupitishwa muda tu wala hawakua na future nao, ingawa walijidai wanawapenda kweli. ushauri wangu dada kama hataki kujakuposa ni bora uka muweka pembeni
  8. M

    JamiiForums Tanzania The ruling of Islamic religion against alshabaab terrorist attack in Nairobi

    pitia historia mtamkuta mmja kati ya watu wa karibu wa Mtume Muhammad ni Bilal huyu alikua ni muafrika. na katika ria simply ni kwa kua hawa Aliewatuma Muhammad na Issa(yesu) ni huyo huyo mmoja (Allah) na ni huyohuyo Alieteremsha vitabu kwa Mitume waliopita injili ( Issa) Zabur ( Daud) Tourat...
  9. M

    JamiiForums Tanzania The ruling of Islamic religion against alshabaab terrorist attack in Nairobi

    hakunahaja ya blablaa umeahidi utakuja na uzi kuelezea copy and paste iliofanyika sisi tunausubiri huo uzi. tukujibu kwa mandiko na kwa mantiki
  10. M

    JamiiForums Tanzania The ruling of Islamic religion against alshabaab terrorist attack in Nairobi

    Uisilamu hauzungumzwi kwa mihemko bali ni kwa mmujibu wa mafundisho yake kutoka ktk marejeo yake nayo si mengine bali ni aya za Qur an au Hadithi za Mtume Muhammad Swallawahu Alayhi Wasalam
  11. M

    JamiiForums Tanzania The ruling of Islamic religion against alshabaab terrorist attack in Nairobi

    " Na ikiwa hamkuweza na hamtoweza( abadani) basi uogopeni moto..." (suatul Baqara 23-24)
  12. M

    JamiiForums Tanzania The ruling of Islamic religion against alshabaab terrorist attack in Nairobi

    Qua an inajibu hoja yako kwa kusema " Ikiwa mnashaka na haya tulioyateremsha kwa mja wetu(Muhammad) basi leteni sura moja tu mfano wa hii Quran. na waiteni wasaidizi wenu asiekua Allah ikiwa nyinyi ni wakweli"
  13. M

    JamiiForums Tanzania The ruling of Islamic religion against alshabaab terrorist attack in Nairobi

    ndugu ipitie tena historia ya uisilamu. uisilamu haukuenea kwa upanga kama wanapropaganda mnavyo dai. bali vita vingi vilivopiganwa na waisilamu viongozwa na mtume muhammad radhi za alla ziwe juu yake zilikua ni vya kujilinda. hapa chini ni mfano wa vita hivyo. historia inatujulisha kua...
  14. M

    JamiiForums Tanzania MAKTABA ZA SHULE

    Profession yng haikuhusu lkn ikutoshe kuaa nina ajira na assert nyengine. kilichonisukuma kuleta uzi huu ni mapenzi yangu tu ya maendeleo ya elimu Tanzania
  15. M

    JamiiForums Tanzania MAKTABA ZA SHULE

    shukran kwa marekebisho
Back
Top Bottom