SALAMU NYOTE
Moja kwa moja kwenye mada.
kwa muda mrefu kumekua na kilio ya kua Waafrika tuliowengi hatuna utamaduni wa kujisomea (na kwahakika huu ni ukweli). Lakini suali kubwa hapa jee utamaduni huu ni mzuri? bila shaka jawabu litakuwa Hapana bali huu ni utamaduni mbaya!
ikiwa ni hivyo serikali, wasomi na jamii kwa ujumla inafanya jitihada gani kuondosha utamaduni huu mbaya?
kwa upande wangu naona kua jambo moja kubwa la kufanya ni kuboresha huduma za maktaba za shule kwa kuajiri Wakutubi ( Librarrians) kwani hivi sasa hii imekua ni profession yenye watendaji wake walioweledi. Pili kujenga miundombinu km vile vyumba vya maktaba, Thamani (funitures) pamoja na vitabu, kwani hali ilivyo sasa vyumba vingi maktaba za shule ama zimegeuzwa ofisi ya walimu au ghala la shule.
kwenye hili mjadalaumefunguliwa.