Recent content by Mkongwe Mzoefu

  1. Mkongwe Mzoefu

    Mtumishi wa Umma anayedaiwa kuwa mwadilifu anapata wapi uwezo wa kujenga Hotel ya Namna hii?

    Acha ujinga, ukuhoji maisha ya Sugu basi wewe humfahamu na mbilinge zake kabla ya kuwa Mbunge na hata alipokuwa Mbunge yeye sio mtumishi wa mamlaka yeyote ya kuweza kujichotea kiubadhilifu kama hao wenzako huko serikalini. Ndio maana hakuna anayehoji utajiri wa mbunge Shabiby au Aboud! acha...
  2. Mkongwe Mzoefu

    DOKEZO RTO Mwanza anaikosesha mapato Serikali kwa kutotoa CONTRAL NUMBER za malipo ya leseni

    Watu wanataka kulipia leseni mpya ni shida kama wanataka kwenda India kupata matibabu!
  3. Mkongwe Mzoefu

    DOKEZO RTO Mwanza anaikosesha mapato Serikali kwa kutotoa CONTRAL NUMBER za malipo ya leseni

    Hakuna kazi ngumu kama kupata Control number ofisi ya RTO MWANZA, pengine kuliko huduma nyingine zitolewazo na ofisi nyingine za umma pale mkoani Mwanza. Je, hakuna suala la rushwa ndani yake? Nchi yetu hii kweli ni kama bucha kapewa fisi ailinde. RPC hebu wajibika sio kila siku upo kwenye TV...
  4. Mkongwe Mzoefu

    Rais Samia: Tumuombe Mungu Marekani na Iran wazungumze misukosuko iishe, dunia irudi katika hali ya kawaida

    Huyo mama yao kila akiongea najisikia kuchafukwa roho sijui nifanyeje hali hiyo initoke!
  5. Mkongwe Mzoefu

    Mkurugenzi Ilemela Unastahili Kubaki Ofisini Kwa Uzembe huu?

    Jana nimeingia Mwanza na kupokelewa Airport ili niende niendako. Ajabu niliyokutana nayo ni baada ya kufika Pasiansi na kufuata barabara ya kuelekea Lumala hadi Kiseke. Barabara . Hii barabara ambayo Ina umuhimu wa Aina yake kama escape route kuwapo na msongamano katika Makongoro road (Airport...
  6. Mkongwe Mzoefu

    Maaskofu nyinyi sio Mungu wetu, Ukweli usemwe mmepotoka tokeni hadharani ombeni msamaha!

    Kama sio kanuni za JF kukataza kuitana majina ya hovyo basi wewe ninge kuita Mpumbaf na jitu la hovo kabisa. Na Nina uhakika wewe huwezi kuwa mkatoliki kama unavyo jiita. Hija yako ni nini hasa? Na Chadema imehusikaje hapa pia huo ushoga wa Chadema umeuonea wapi? Kuna kiongozi wa Chadema amewahi...
  7. Mkongwe Mzoefu

    Serikali isipoteze rasilimali muda na fedha. Iwakamate wafuatao wataeleza kinagaubaga kuhusu ghasia za 29/10/25

    Kuwaita mahawara ni kuharibu maana sahihi na heshima ya mahawara, ungewaita makahaba wa .......
  8. Mkongwe Mzoefu

    Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kati ya vyama 10 vikubwa duniani - Fahari ya Tanzania na Afrika; Je, mnalijua hili?

    Wakati wa Vita kuu ya pili ya Dunia , chama cha NAZI cha ujerumani kilikuwa kikubwa zaidi Duniani pengine kikishindana na cha kikomunisti cha Soviet cha CPSU. Jee unajua kwanini sasa hivi ni aibu hata kujiita kuwa alikuwa mwanachama wake? The same na CCM ambacho bado muda kidogo itakuwa hivyo...
  9. Mkongwe Mzoefu

    Ni kwa gharama za nani chama cha siasa cha Tanzania kufanyia shughuli zake Nairobi?

    ANC wakati ule wa Apartheid na wakawa wana kamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ajabu kama wafanyavyo CCM ilibidi wafanyie kazi nje ikiwapo hapa Tanzania. Pengine ulikuwa hulijui hilo maana ulikuwa hujazaliwa au elimu yako ni ndogo kuelewa na kusoma historia. Mwenye aibu ni wale wabambika kesi...
  10. Mkongwe Mzoefu

    Haji Manara kurejea Simba, na Ahmed Ally kupandishwa cheo

    Yanga hizi mbinu za kipumbavu ndizo zinawa fanya mfanye mambo ya kijinga kama kuchangia shughuli za siasa hadi kuweka rehani usalama wa club kuazibiwa na FIFA. ACHENI UTOTO
  11. Mkongwe Mzoefu

    GE2025 Video: Rais Samia Akiondoka Ukumbini Kuwapisha Wajumbe Wafanye Yao. Aliyedai Rais Hakutimiza jambo Hilo Alikuwa na lengo la Kupotosha

    Hivi kuidhinishwa kuwa mwenyekiti baada ya bosi kukata kamba ni sawa na kupigia kura majina matatu yanayotaka kugombea urais? Mnatia aibu vijana mnapotaka kutafuta vitu vya kudanganya umma maana hamshirikishi ubongo mlionso
  12. Mkongwe Mzoefu

    KERO Mifuko ya Hifadhi za Jamii NSSF na PSSSF kwanini mnatesa wastaafu kuwalipa Pesa zao?

    Mazoea yamekuwa desturi, baada ya kuchangia kwa miaka mingi mifuko hiyo hadi kustaafu sasa wastaafu ndio wana kumbana na adha ya kupewa pesa zao utadhani wanaomba kazi upya. Kwanza wanacheleweshewa wakati mifumo ya kustaafu inaeleweka mwezi mmoja kabla mtu hajastaafu. Sasa kesha toka kazini na...
  13. Mkongwe Mzoefu

    Raisi Samia Aingia Katika Macho ya Bloomberg

    Kuna watu akili zao hazitofautiani na mifugo.
  14. Mkongwe Mzoefu

    Tetesi: Kumbe Viongozi Yanga Wanatumika Kupoteza Ari ya Upinzani Dhidi ya CCM?

    Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION? Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao. Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali...
Back
Top Bottom