Hata yesu Alipo mponya yule kipofu alitumia tope kidogo lakini pia sio kila anaetumia dawa hupona wengine hufa
Ndio maana hospitalini kuna mortuary
Hivyo kwa imani yake pamoja na kutumia Dawa Bado anaamini ameponywa na YESU
Hiyo sio adabu mkeo kumtengea kijana mdogo msosi
Lakini pia kwa tabia za baadhi ya wa mama mtu pekee anaeweza kuishi hapo kwa amani ni mtu kutoka upande wa kwao
Katika maisha kuna mzunguko wa vitendo tunavyo fanya sasahivi baadae vitendo hivyo huturudia sisi yaani ukiwasafiri wazazi wako wakakosa msaada huko mbeleni kuna uwezekano na wewe watoto wako waka kusafiri pia
Hapo tujifunza kwamba hapo Huyo mama mwaipaja analipwa kwa vitendo alivyo...
Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,
Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa...
K
Kwa hiyo CHADEMA chini ya utawala wa MBOWE mnapo panga mipango ya kuingia kwenye michuano ya uchaguzi wa Rais huwa mnaingia kujaribu tu huku mkijua hamtoshi? Nyie watu mnachezea vichwa vya Tanzania kabisa, Yaani baadhi ya watu wamepoteza maisha katika kuunga mkono harakati zenu kumbe...
Dada apewe maua yake inaonyesha ni jinsi gani jamii ya wafanyabiashara wenzie wanavyo muamini sana angekuwa haaminiki asingeweza kukusanya pesa nyingi namna hiyo kwa muda mfupi wanao mfahamu angekuwa haaminiki hata elfu kumi asinge pata na kwa kiasi kikubwa walio changa ni wafanyabiashara wenzie...
Mkuu Ushimen si ndie majina yake ya ukweli kwa ufupin ni J M? Aise kama ndie nitajitahidi sana kufika muhimbili aise huyu mwamba ana moyo wa utu sana alinisaidia sana mpaka majina yake halisi nika yajua kutokana na miamala ya pesa alizo kuwa akiniwezesha
Mkuu Ushimen si ndie majina yake...
😄 Mimi ni mkubwa nil
Inaweza fanyika kwa jengo lolote pia gharama inategemea na aina ya Mawe unayotaka maana yapo yanayo agizwa toka Tanga, Babati na kwingineko
Wakuu mimi ni zao la hapa JF
mara kadhaa Jf imekuwa kimbilio langu pale nilipo yumba kiuchumi nika kimbilia hapa niliweza kusaidiwa vya kutosha wachache wanaweza kukumbuka jina Mkongoro mwaka 2015. kwa muda mrefu nimejifua katika decoration za mawe na sasa nathubutu kusema nimeiva...
Huo uzima na pengine kipato ulicho nacho ndio kina kufanya uwaze hivyo kuwa kila jambo liko under your control. Walikuwepo akina Kingunge walikaza fuvu kuwa hawaamini katika uwepo wa MUNGU mauiti ilivyo karibia wanalia waitiwe Watumishi wa MUNGU na kuongozwa sala ya Toba na tulishuhudia Mazishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.