Recent content by Mkongeni

  1. M

    Sweden: Tanzania's ambassador, Dr. Slaa called to the Foreign Ministry for a reprimand

    Asilimia mkubwa ya wachangiaji mnaonekana kufurahia kitendo cha mashoga wa kizungu kumwita Balozi wetu, badala ya kulani vitendo vya kishoga. Mngejua ni jinsi gani inauma unapoona wanao wa kiume amekuwa shoga, msingeshabikia vitendo hivyo. Nawapeni pole sana, naungana na aliyesema kuwa dunia...
  2. M

    Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tanzania tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu

    A cha hoi laughs ya one ma Acha hii lugha ya kusema 'one man show,' kuwa ndiyo tatizo. Tawala zilizopita ilikuwa zinategemea ushauri wa wapambe wao na wengine kuruhusu kila kitu, nini tulichovuna katika kipindi hicho? Tunataka mtu anayechukua maamuzi magumu kwa manufaa ya taifa ili kuleta...
  3. M

    Ikulu: Rais akutana na kupata wasaa wa kuzungumza na M/Kiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia

    A cha mawaz Acha mawazo finyu kuwa Katiba ndiyo itakuletea maendeleo binafsi. Kenya ina Katiba nzuri, lakini watu wake ni masikini na kuna vitendo vya rushwa na ufisadi wa hali ya juu. Ukabila ndo usiseme, watu wapo kimajimbo na makabila kiasi cha kutaka hata kubadilisha Katiba waliyonayo...
  4. M

    Maputo yaipiga bao Da r es salaam

    Jaman Jamani, hata kama hamuipendi Tanzania kwa vile inaongozwa na JPM, ni vyema mkasoma taarifa zinazotolewa na vyombo vya nje kwa makini. Hilo daraja linalalamilkiwa na wananchi kwa ufisadi mkubwa uliofanywa na nchi ya China na pia wananchi wanatakiwa kulipia dola 3 sawa na Tshs.6,500 kuvuka...
  5. M

    Sababu za Rais aongezwe Miaka 7 ni Sahihi na Asigombee kipindi kingine

    Huy Huyu ataendelea kuuota uraisi kama Lowassa na Laila Odinga. Kiongozi nzuri juwa Jana uvhu wa madaraka kama huyu Embe
  6. M

    Benki ya Dunia (WB) yasitisha safari za kikazi Tanzania kutokana na sakata la ushoga

    Hivyo, watenda Mmmmmm! Kumbe watendaji wa World Bank kumbe ni mashoga na wasagaji. Mungu waadhibu watu hao ambao wanakiuka uumbaji wako. Sham upon those intatain this behaviour
  7. M

    Tofauti ya hamahama ya 2015 na hii ya Leo ni nini?

    Kweli umedhihirisha kuwa Chadema ina watu ambao upeo wao wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana. Kichwa cha habari na mambo uliyoyaandika ni vitu viwili tofauti kabisa. Umeleta hisia na mihemuko yako bila kutofautisha mambo. Nyerere kuwepo kwa muda mrefu wakati wa mfumo wa chama kimoja...
  8. M

    Rais Magufuli, tatizo sio kuficha pesa ila utakatishaji

    Nimesoma mtizamo wa mtoa mada na wengi weliochangia wanampongeza. Lakini kitu ambacho Watanzania wanalalamika ni kupungua kwa mzunguko wa fedha. Kwa uelewe wangu mdogo, money laundering kama inafanyika nchini, ndiyo inayoongeza mzunguko wa fedha, siyo kinyume chake. Kama zitatungwa sheria za...
  9. M

    Pongezi kwa Rais Magufuli

    Mmmmmm! Kikwete, mliyekuwa mnamtukana kila siku. Kweli, wabongo ni bongo lala. Acha kulalamika, watu wanachapa kazi na maisha yanasonga mbele.
  10. M

    Siku Rais Magufuli anastaafu urais, itakuwa sherehe kubwa kwa Mafisadi

    N Ndiyo, kama JK aliwakumbatia sana
  11. M

    Ukimya wa Mabilionea hawa kulikoni!

    Wewe unaonekana unatumiwa na watu ambapo hawaitakii nchi yetu mema, kwani hoja zako unazozileta humu Jf ni za kichochezi na za kutaka kuwachonganisha wananchi na serikali. Acha hayo, ipo siku utakuja kujutia kwa kuiombea mambo mabaya nchi yetu. Ushindwe kwa jina la mungu wako
  12. M

    Rais Magufuli na Waziri Mahiga wadanganya dunia, kutohudhuria kikao cha UN kwasababu ya ajali ya kivuko cha MV Nyerere

    JK alihudhuria kila mkutano hata ule ambao alitakiwa kutuma mwakirishi, nini cha maana tilichokipata katika utawala wake. Mlimwita Vasco da Gama, mzee wa kusafiri huku nchi ikibaki masikini. Tuache ulimbukeni wa kufikiria kwenda nje ndo ujanja au sifa ya Urais. Suala la lugha, siyo muhimu...
  13. M

    Sheria Mbovu: Benki ya Dunia ‘yazuia’ zaidi ya Bilioni 112 kwa Tanzania

    Acheni mawazo finyu, tunasikia kinachotokea Zambia, hiyo ni kutegemea misada ya wachina na mabeberu wa magharibi. Hawa watu wanataka takwimu zetu ili wazitumie kwa manufaa yao. Hivyo, sheria inawanyima nafasi hiyo. Watu wanasema 'No data no right to speak'. Waache wabaki na fedha zao, nasi...
Back
Top Bottom