Please please please naomba msaada wa jinsi ya kupata joining instruction kwa shule ya Sumve girls iliyopo Kwimba Mwanza. Ikiwezekana kama kuna aliyepangwa huko anipe maelezo ya kinachohitajika. Natanguliza Shukran
Wanaweza kujaribu application za ualimu na afya kupitia nacte kwa kuwa bado mlango wa kutuma maombi haujafungwa. Kuna wiki 2 za kuamua na kutekeleza haya.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 18/7/2015. Naomba kuwasilisha
Source: The National Council for Technical Education
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.