Recent content by Mkomamanga

  1. Mkomamanga

    Anguko la Uchumi: Wawekezaji kutoka China waikimbia Tanzania, wanawekeza nchi jirani

    Uchumi ukitegemea mitaji ya nje saana ndo hivo kama tunavotegemea World Bank na IMF tusubiri kama tutaja endelea. We amka tia mkono wako katika kazi unayopaswa kuifanya...ongeza ufanisi wa kazi yako utaona matunda yake. Kelele hizi mitaji inaondoka...tukuze mitaji yetu ambayo haitaondoka maana...
  2. Mkomamanga

    Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

    Uh, vyeo, uuzaji na ununuzi ...vyanzo vikuu vya sintofahamu baada ya uchaguzi
  3. Mkomamanga

    Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

    Mchaka mchaka.... akija....mchakamchaka.....!!!!
  4. Mkomamanga

    Tuepuke sumu hizi: Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena

    Dini yangu ni Tanzania kama hiyo dini ni ya kiislam au ya kikristo ni safi tu...ila kitu chochote kinachoendekeza kuwa kuna mtanzania bora kuliko mwingine hiyo dini ningesema itokomee baharini mbali kabisa na mipaka ya nchi yetu
  5. Mkomamanga

    Mrema: Nilimshawishi Lowassa kukihama CCM akagoma akidai anataka kula kwanza

    Kwani mnashangaa nini hata miaka ile alikuwa anatoa siku saba mke au mme kurudiana na mwenzake bila kujua kama kumbe wote walikuwa majipu yasiyoweza kuwa pamoja
  6. Mkomamanga

    Lowassa: Siwezi mhukumu Kikwete, yeye mwenyewe ajihukumu. Magufuli anafanya vizuri baadhi ya maeneo

    Kwa Tanzania kama tunataka usalama ni lazima tukubaliane juu ya majority of the minority Demokra
  7. Mkomamanga

    Zitto: Uamuzi wa kuhamia Dodoma ni sahihi, unapaswa kuungwa mkono na wazalendo wote Tanzania

    Wasije wengine wakarudisha Dar tena ...itungiwe na sheria kwenye katiba kwamba haitahama tena hadi labda baada ya miaka mia vinginevyo uh akiingia huyu utasikia naye anarudisha Dar ili Dili zikapigwe kikwelikweli bandarini na kwingineko. Duh ila kuna watu wamekosa Dili maana walikuwa maarufu kwa...
  8. Mkomamanga

    Kwanini Gavana Prof Ndulu anapaswa kujiuzulu?

    Anyway kwa sasa wote hawa wawili ni magwiji wa fani ya uchumi...wote wakiwa wameshawahi kuwa washauri wa Benki ya dunia kwa namna moja au nyingine na wote wakiwa na exposure kubwa tu kwa masuala ya fedha na biashara za kimataifa. Sijui aliyemalizia uwaziri wa fedha siku hizi ana cheo...
  9. Mkomamanga

    Yanayojiri EU na Unabii wa Sanamu ya Nebukadneza

    Mkuu nakubaliana na mantiki yako ila kasoro yake ni hii: Ujuzi lazima upite mikononi mwa mwingine. Unataka kusema tusitumie ndege au gari kwa kuwa kabla mzungu hajaja hatukuwa na vitu hivyo? Nadhani tulipewa akili na uwezo wa kutambua mambo fulani ya maisha tusiyaache tu kwa vile yanatoka kwingine.
  10. Mkomamanga

    Kwanini Gavana Prof Ndulu anapaswa kujiuzulu?

    Mi sijui tatizo ni nini hapa, kama TRA wamekosea au Prof kakosea...si hoja we nenda weka pesa yako benki na utajua maana yake maana makosa yao si hoja kama VAT inalipwa.
  11. Mkomamanga

    Magufuli: Kuna mtu alikuwa anahamisha kati ya Tsh milioni 7-8 kila dakika. Yuko mikono salama...

    Mikono salama si mahali ambapo mtu hawezi toroka? Panajulikana sijui nini kigumu kuelewa hapa. Hii si ya kwanza kumbuka sakata la Richmond ilikuwa ni milioni 153 kwa siku kutoka kampuni moja tu iitwayo TANESCO
  12. Mkomamanga

    Kampuni 4 zabainika kukwepa kodi Sh. Bilioni 29.2. SKOL, A. M Steel wamo...

    Mazingira ya biashara Tanzania ni mazuri na kodi si nyingi...kama kodi zinakwepwa kwa namna hiyo mazingira yatakuwaje mazuri. Mi sipendi ubaguzi ila nahisi wafanya biashara wengi wa Tz si tu kwamba hawana uzalendo bali si wazalendo kwa maana halisi na hivyo hawaoni haja ya kulipa kodi. Kusema...
  13. Mkomamanga

    DAR: RC Makonda atangaza vita dhidi ya mashoga. Atishia kuzifuta asasi zinazowatetea!

    Nahisi kuna mambo mengi ya kushughulikia yanayowagusa wananchi wengi kuliko kujikita katika issue inayohusu watu wasiofika hata asilimia moja ya watu wa mkoa wake! Pili sijui atawashughulikia kivipi wanaoingia uwanja wa taifa toka kwao maana sheria za uhamiaji haziwakatazi kuja kutalii...
  14. Mkomamanga

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame kufungua maonesho ya Sabasaba. Kufanya mazungumzo na Rais Magufuli

    Uh Zanzibar tu inatutoa udelela tuongeze tena mambo ya 1994? Haya jaribu ila haina haja maana ni marafiki zetu ni ndugu zetu tunaishi vema si lazima tuungane ila tufungue mipaka tu ya kuhusiana vema na biashara nzuri...tutaishi bila matatizo
Back
Top Bottom