Nianze kwa kumshukuru Prof Ndulu kwa kazi
yakulitumikia taifa ila pia nimshauri kama ni msomi mzuri na nimuungwana basi mim ningeona bora ajiuzulu kwa usalama na heshima kwa taifa lake.
1. Ktk kipindi chake Bot haijamsaidia masikin wa chini ktk kuipa pesa ktk njia zilizo nzuri na kuleta tija nakutengeneza ajira za kudumu ila ameleta mpesa jambo ambalo hata nchi zimeendelea hawana.
2. Mpesa ni aina nyingine ambayo ilipo kuja ilidhaniwa ingesaidia upatikanaj wa pesa ila wakat ikirahisisha wana nchi wamekuwa wakipata hasara ambazo weng wao wanaona Bot ni chanz cha yote haya. Mpesa imepunguza mitaji ya bank jambo ktk siku za uson ma bank meng yaweza kufa kwa ufisadi wa mpesa.
3. Ufisadi wakutisha ktk kipindi chako nalo ni tatizo, yapo ma bank yanafanya ndivyo sivyo nakulisababishia taifa hasara kubwa, wakati chombo chetu Bot kipo na wewe upo je huwoni umechafuka mkuu wangu?
4. Uwepo wa majina hewa na madeni hewa ktk jambo lisilo ingia akilin ni jinsi hewa inakuwepo Ktk Bot!
5. Kama mtaalam wa maswala yakifedha ktk kipindi chako Tzs imeshuka thaman wakat usd ikishika kasi, je huwon umeshindwa kazi? Pia hili linazuwa mashaka makubwa ikiwa umzalendo au kibaraka wa imf na world bank.
6. Ushindani usio fuwata vigezo vya Bot kwenye ma bank ya biashara, hili ni jipu inajulikana ndani ya taasisi yako mabank hayapati fursa sawa wakati yote yanatoa ajira kwa wa tz, jambo linadumaza ushindani ktk secta za mabank hasa ktk upande interest na fx. Nasitaki kuamin ujuwi.
7. Mfumuko wa bank za biashara usio endana na mzunguko wa pesa na uchumi nalo ni jibu. Fbmi nimfano wajipu ktk ku screen bank kabla yakupewa vibali.
8. Utoroshaji wa pesa? Mh prof Jiuzulu nakuomba wala usisubir tumbuliwa
9. Matumizi ya usd ndan ya tanzania na bot mpo? Majanga?
10. Main account za wawekezaji kufunguliwa nje ya nchi nakufanyika collection nje wakat taifa linakosa trilion of money as tax ktk utalia. Mzee achia ngazi.