Recent content by MKOLEGWAFIFI

  1. M

    JamiiForums Tanzania OSIRAK: Mungu wa wafu mikononi mwa Makomando wa Israel

    Naunga mkono hoja
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jeneral wa Jeshi Congo ajiuzuli

    Hii habari inaonekana Millard Ayo tu sidhani kama ni ya kweli? Mapinduzi gani rais anapewa siku 45 hapo si unampa muda wa kujipanga kubakia!! Hii habari siyo ya kweli
  3. M

    JamiiForums Tanzania Condoleezza Rice: Kim Jong Un is pretty clever

    Yaa naye alikuwa vizuri sana, Condoleezza Rice amefanya kazi kwenye mazingira magumu sana kipindi cha vita ya Iraq baada ya Collin Powel kujiuzuru.Kipindi hiki dunia ilikuwa imegawanyika kutokana na uvamizi wa marekani nchini Iraq.Lakini huyu mama alijitahidi sana kufanya kazi yake, moja ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Condoleezza Rice: Kim Jong Un is pretty clever

    Kwangu Condoleezza Rice alikuwa mmoja wa the best Secretary of state kwa USA.Sijajua kwanini hajawahi fikiria kugombea urais wa Marekani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kusema kwamba Rais Magufuli hashauriki wala hapendi kusemwa ni kumuonea tu mtumishi huyu wa watanzania

    Hili jina linafanana sana na Chiwenga wa kule kwa Mugabe, usije kuwa unatusemea kumbe ni foreigner
Back
Top Bottom