Recent content by Mkola Tz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wa economics hawajumuishwi kufundisha somo la business studies?

    Lakini commerce ni parts ya economics
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wa economics hawajumuishwi kufundisha somo la business studies?

    Serikali ilitangaza ujio wa ajira mpya za ualimu, moja ya ajira hizo ni somo la (business studies)na linaonekana lina uhaba wa walimu ilihali kuna kuna lundo kubwa la walimu wa economics wapo mtaani na hawajiliwi kufundisha somo hilo je economics haikizi vigezo vya kufundisha somo hilo la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali isisubiri matukio ndio itoe ajira

    SERIKALI ISISUBIRI MATUKIO NDIO ITOE AJIRA Serikali yetu imekuwa itumia ajira kutuliza matukio ya kisiasa, kiuchumi, au majanga yanayotokea hapa nchini. Ili kuwa na utawala bora Kuna haja ya kuwa na mipango mizuri katika utoaji wa ajira hizi kwa vijana wa nchi hii, leo hii ajira ndio zimekuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Hili wazo zuri Sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Majukwaa ya vijana hayawasaidii

    MAJUKWAA YA VIJANA Kumekuwa na wimbi kubwa la mikutano, makongamano na mabaraza ambayo huandaliwa kwa ajili ya kutatua changamoto za vijana hususani katika sekta ya ajira na kujiajiri. Mabaraza hayo ambayo huandaliwa na viongozi mbalimbali wa serikali na watu mashuhuri na wenye ushawishi kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON-2023: Tanzania yapwangwa Kundi F pamoja na Uganda, Algeria, Niger

    Je Tanzania ataweza kufuzu mbele ya miamba hii. Group F Algeria Uganda Niger Tanzania === Group A: Nigeria, Sierra Leone, Guinea-Bissau, Sao Tome e Principe or Mauritius Group B: Burkina Faso, Cape Verde, Togo, Eswatini Group C: Cameroon, Kenya, Namibia, Burundi Group D: Egypt, Guinea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Aaron Ramsdale na save bora ya msimu

    Golikipa wa timu ya Arsenal, Aaron Ramsdale ameokoa mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na James Maddison nje kidogo tu ya eneo la 18. Save hiyo ya Aaron Ramsdale ndio inasemekana kuwa save bora ya msimu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwenda Afcon tena

    Inawezekana Tanzania ikaenda tena Afcon endapo tu chama cha soka cha Equatorial Guinea kitashindwa kulipa faini waliopigwa shirikisho la mpira FIFA ndani ya siku 30. Equatorial Guinea 🇬🇶 walipigwa faini ya kiasi €644,000 baada ya kushindwa kuwalipa makocha waliopita wa timu ya taifa ya wanaume...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Takwimu hazidanganyi: Feisal vs Miquissone

    Ndio utuambie hivyo vitu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Takwimu hazidanganyi: Feisal vs Miquissone

    Kwani Nani alistahili kuchukua hi tuzo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Benin vs Tanzania (Oktoba 7): Tanzania walishindwa kutumia nafasi walizopata kipindi cha kwanza

    Sio kwamba tunahitaji generation mpya Kama ya kina novatus dismas pia tuachane na hayo magari ya mkaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Benin vs Tanzania (Oktoba 7): Tanzania walishindwa kutumia nafasi walizopata kipindi cha kwanza

    Tanzania walishindwa kutumia nafasi walizopata kipindi cha kwanza ama ni Substitution za mwalimu ndio ziliotuangusha
Back
Top Bottom