Fedha Taslimu kwa kiwango kilichoahidiwa kitatolewa kwa yeyote atayatoa taarifa zitakazopelekea Mtuhumiwa kukamatwa na kufikishwa katika vyombo vya Dola.
Kampuni ambayo imeasajili kama Limited Liability ina maana, kuwa kampuni hiyo ni Legal entity.
It can be sued and it can sue as well. The shareholders' liability is only to the amount of shares they have subscribed.
Kwa maneno mangine, Kama kampuni ina madeni, basi hayo ni madeni ya kampuni na...
Chukulia matharan kesho Mtukufu anakanusha alichosema waziri kuwa ni Utani. na kwa mfano, Mtukufu akasema msema kweli ni mpenzi wangu, wala sikufanya utani wala mzaha .... fyatueni. sijui waziri atasema nini. Fundisho: kwa vile aliye sema yupo, ilikuwa sahihi yeye mwenyewe aseme .... wajameni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.